Anne Malecela: Posho za madiwani ni ndogo, Rais aache alama kwa kuwaona

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Mbunge wa Same Mashariki Anne Malecela akichangia hoja kwenye bajeti ya 2026/27, ameomba serikali kuongeza posho za madiwani ili kuwawezesha kufanya kazi vizuri

--
Bajeti ya serikali imepanda sana. Ukiangalia bajeti ya 2025/2026 ilikuwa trilioni 56 na .49.

Bajeti ya 2026/2027 ni, Mheshimiwa Spika, ni trilioni 62 na .33, ongezeko iko la asilimia 10.3.

Sasa naomba, naomba waheshimiwa wabunge kidogo... Waheshimiwa wabunge naomba kidogo msikilize."

(Mwenyekiti anaingilia kati: "Waheshimiwa wabunge tutulizane tumsikilize mheshimiwa mbunge na mchango wake...")

Naomba kuishauri serikali kwa sababu ukiangalia vizuri, Mheshimiwa Mwenyekiti, bajeti imeboreka sana. Niiombe serikali kwa unyenyekevu, nimwombe Rais Samia kwa unyenyekevu. Kwa hali ilivyo sasa ni vyema serikali ikawaangalia waheshimiwa madiwani. Kwa sababu bajeti imeboreka sana, serikali ina pesa. Waheshimiwa madiwani... Mheshimiwa Rais namwomba, serikali naiomba, ni vyema ikawaangalia waheshimiwa madiwani sasa.

Mimi ni mbunge wa jimbo, ukweli niseme ukweli waheshimiwa wabunge, nashindwa kufanya kazi mwenyewe jimboni kwangu, nafanya kazi na madiwani. Sina uwezo wa kuingia kata zote, wenzangu wako kwenye zile kata zao lakini Mwenyekiti, tukisema ukweli, waheshimiwa madiwani posho zao ni ndogo mno.

Ni mnyenyekee Rais, nimwombe aache alama kwenye nchi hii kwa kuangalia madiwani. Wale madiwani nao wanafanya kazi sana, sana, sana mchana na usiku.
 
Nje ya mada huyu mama ni mke wa mstaafu maleche au kaolewa na mwanaye wa mastaafu maleche?
 
View attachment 3612858

Yaani hizi akili hizi !! Yaani Rais aache alama Kwa kuwaongezea posho madiwani 4000+?? Kwenye nchi ya watu 70M+ !! No wonder we're poor
 
Kwanini hapendekezi wabunge wapunguziwe posho zielekezwe kwa madiwani
 
Back
Top Bottom