mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Aisee, huu ni ukabila tu, ina maana kwamba ukikuyuni wote ni ma single mother au ndio unamaanishaje? Alafu mleta mada, ni Anne Waiguru sio Waigiru, Gavana Anne Waiguru, Her Excellency. Rais Uhuru alipokonywa mchepuko live. Mbarikiwe sana lakini, endeleeni kufatilia habari kutoka kwa Tv za Kenya.Huyo ni Mkikuyu boss wa Kirinyaga...unategemea nini hapo?
Janja janja mingi!
Nilikuwa nampenda sana Anne, lakini kwa kuwa niliamini ameolewa sikutaka kuingilia nyumba ya watu! How mistaken I was! Hata hivyo swali langu halijajibiwa. Waiguru ni jina la nani? La baba yake......au?Aisee, huu ni ukabila tu, ina maana kwamba ukikuyuni wote ni ma single mother au ndio unamaanishaje? Alafu mleta mada, ni Anne Waiguru sio Waigiru, Gavana Anne Waiguru, Her Excellency. Rais Uhuru alipokonywa mchepuko live. Mbarikiwe sana lakini, endeleeni kufatilia habari kutoka kwa Tv za Kenya.
Jina lake kamili lilikuwa ni Anne Mumbi Waiguru. Waiguru ni jina la babake. Bahati yako mbaya, hivi karibuni wataanza kumuita Anne Waiganjo badala ya Anne Mafutamingi.Nilikuwa nampenda sana Anne, lakini kwa kuwa niliamini ameolewa sikutaka kuingilia nyumba ya watu! How mistaken I was! Hata hivyo swali langu halijajibiwa. Waiguru ni jina la nani? La baba yake......au?
Ok sasa nimeelewa. Hongera bwana Kamotho kwa kumpata Malkia wa nguvu!Dah! Huyu mwanamke ni wale huitwa iron ladies, ila ndio kama ilivyo, kwa mwanamke kuibuka kidedea kwenye ulingo wa siasa lazima ajiachie full.
Binafsi nilikua nampenda sana enzi akiwa waziri, alikua na sera nzuri sana na za kueleweka, kisha ghafla akaangukia pua baada ya kutajwa kwenye tuhuma za wizi wa kiajabu, kuanzia hapo nikaanza kumchukia sana.
Ndoa yake ya mwanzo alibarikiwa na watoto watatu, sasa ameingia kwenye ndoa ya pili na kuwa mke wa Kamotho ambaye naye pia anayo watoto watatu. Mungu awabariki, ila taswira ya ufisadi haitowahi kumtoka
HahahahaaaAisee, huu ni ukabila tu, ina maana kwamba ukikuyuni wote ni ma single mother au ndio unamaanishaje? Alafu mleta mada, ni Anne Waiguru sio Waigiru, Gavana Anne Waiguru, Her Excellency. Rais Uhuru alipokonywa mchepuko live. Mbarikiwe sana lakini, endeleeni kufatilia habari kutoka kwa Tv za Kenya.
Wow.Hahahahaaa
Kwenye makabila kuna stereotypes mbalimbali...
Kutaja stereotype sio vibaya,ni "utani"!
Ndio maana huku Tanzania makabila huitana "Watani"....Unaweza hata watukana lakini ni strictly "utani"!
Kila mtu Africa Mashariki anawajua wanawake wa Kikuyu,stereotypes zao,na jinsi walivyo..Huku Tanzania tunawananisha na wanawake wa kabila la Wachagga!
Janja janja miiingi!
Hahahhaaaaaa
WAtu wengi TZ tunapenda sana content za Kenya,mna content nzuri sana,kwahilo everybody anawakubali..
Kwenye siasa mimi napenda sana content ya Debarl Inea na kipindi chake cha AM LIVE!
Napenda sana mijadala ya Dr Ottiende Amollo (Huyu jamaa ni probably the most cleverest nigga ni Kenyan politics aisee),Boni Khalwale(huyu mzee tumbo linamsumbua aisee),Kimani wa Matangi (mzee ushabiki wa Jubelee umekula his thinking capability),Jakoyo Midiwo (mzee yuko balanced sana),Kimani Ichungwa(vurumai mingi),etc
I can spend 2hrs watching these guys!
Hahahahaaa

Picha tasafaliHuyu Dada àmefunga ndoa jana na Kamotho Waiganjo. Nilistuka sana kuona habari hio kwa kuwa siku zote niliamini kuwa ameolewa na kuwa Waiguru ndo mmewe. Swali: Hivi kweli alikuwa hajaolewa? Mwenye kumfahamu vizuri atujuze!
Kwani Samia Suluhu kaolewa? Wacha ubaguzi kwa wanawake!Nilikuwa nampenda sana Anne, lakini kwa kuwa niliamini ameolewa sikutaka kuingilia nyumba ya watu! How mistaken I was! Hata hivyo swali langu halijajibiwa. Waiguru ni jina la nani? La baba yake......au?