Hahahahaaa
Kwenye makabila kuna stereotypes mbalimbali...
Kutaja stereotype sio vibaya,ni "utani"!
Ndio maana huku Tanzania makabila huitana "Watani"....Unaweza hata watukana lakini ni strictly "utani"!
Kila mtu Africa Mashariki anawajua wanawake wa Kikuyu,stereotypes zao,na jinsi walivyo..Huku Tanzania tunawananisha na wanawake wa kabila la Wachagga!
Janja janja miiingi!
Hahahhaaaaaa
WAtu wengi TZ tunapenda sana content za Kenya,mna content nzuri sana,kwahilo everybody anawakubali..
Kwenye siasa mimi napenda sana content ya Debarl Inea na kipindi chake cha AM LIVE!
Napenda sana mijadala ya Dr Ottiende Amollo (Huyu jamaa ni probably the most cleverest nigga ni Kenyan politics aisee),Boni Khalwale(huyu mzee tumbo linamsumbua aisee),Kimani wa Matangi (mzee ushabiki wa Jubelee umekula his thinking capability),Jakoyo Midiwo (mzee yuko balanced sana),Kimani Ichungwa(vurumai mingi),etc
I can spend 2hrs watching these guys!