Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Aisee nimependa hiyo barabara ya MASHINANI,hiyo home coming kwani alikuwa ''hayupo''Kenya au ni kwa kuwa ni mbosi/mdosi kwa hiyo anaenda kwao baada ya kuwa mbosi,kwanii home coming ni pale tu unapokuwa umepata kuwa muheshimiwa?hapo ndio naona tofauti kati ya TZ na KE ikizidi kuwa kubwa.