Annua increment pdf

Annua increment pdf

Walimu mashaibuka tena, wewe mtumishi gani usiojua annual increment yako? Anyway annual increment have nothing to do with ongezeko kwenye take home yako, unajisumbua bure kaa kwa kutulia, anyway jifunze pia kuanzika vizuri!
Annual increment ya kiwango cha juu kwa mwaka ni elfu 60 kama mnafurahia hiyo mnajidanganya
 
Hicho ndicho Magu hakutaka ndio maana alikuwa haongezi mishahara
Hakuongeza na hakufanya chochote miaka 6.

Mtu aliajiriwa 2014 ambayo kiuhalisia alitakiwa amepanda cheo Mara Mbili ( kila baada ya miaka 3).

Amepanda Mara moja tu, Tena kapanda mwaka Jana.

Maana yake mtu anafanya kazi mpaka kustaafu na Mshahara mbuzi, halafu anakutana na pension ya 33.3%.

Ukistaafu na Mshahara kiduchu,hata pension yako inakuwa kuduchu.
 
Back
Top Bottom