Annual increment

Annual increment

real CAG

Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
20
Reaction score
49
Serikali wekeni annual increments za watumishi kulingana na mikataba na makubaliano yalivyo.Kutofanya hivyo ni ukandamizaji na si sawa Mwaka unaisha lakini kupo kimya,annual increment ni haki kwa watumishi.
 
Wengine wamepata,wale waliopanda madaraja hawajawekewa ,labda mwezi huu au WA 11,

Nilishtuka nilipoona Msonde na Miata zake uchwara nikajua Kuna jambo lao!

Ngoja tuone!
 
Serikalini haijawahi kuwajali watumishi stahiki zao ndugu.
Annual increments imekuwa ni ndoto na haipo miaka ya hivi karibuni
 
Back
Top Bottom