R real CAG Member Joined Nov 6, 2019 Posts 20 Reaction score 49 Aug 19, 2024 #1 Serikali wekeni annual increments za watumishi kulingana na mikataba na makubaliano yalivyo.Kutofanya hivyo ni ukandamizaji na si sawa Mwaka unaisha lakini kupo kimya,annual increment ni haki kwa watumishi.
Serikali wekeni annual increments za watumishi kulingana na mikataba na makubaliano yalivyo.Kutofanya hivyo ni ukandamizaji na si sawa Mwaka unaisha lakini kupo kimya,annual increment ni haki kwa watumishi.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Aug 19, 2024 #2 Wengine wamepata,wale waliopanda madaraja hawajawekewa ,labda mwezi huu au WA 11, Nilishtuka nilipoona Msonde na Miata zake uchwara nikajua Kuna jambo lao! Ngoja tuone!
Wengine wamepata,wale waliopanda madaraja hawajawekewa ,labda mwezi huu au WA 11, Nilishtuka nilipoona Msonde na Miata zake uchwara nikajua Kuna jambo lao! Ngoja tuone!
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Sep 22, 2024 #3 Serikalini haijawahi kuwajali watumishi stahiki zao ndugu. Annual increments imekuwa ni ndoto na haipo miaka ya hivi karibuni
Serikalini haijawahi kuwajali watumishi stahiki zao ndugu. Annual increments imekuwa ni ndoto na haipo miaka ya hivi karibuni