Wakuu habari za mida?
Naomba msaada leseni yangu ya biashara ya kampuni imeisha na unatakiwa kufanya annual return brela, na sijafanya biashara kabisa kutokana na kitegemea fund mahali inagoma ila nataka kwenda tens kurenew lesen msaada wenu wakuu naweza kufanya annual return japo sijafanya biashara na kupata tena lesen?
Ahsanteni natumaini wataalamu mpo kwa msaada zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app