Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Vatican ni hatari sana, nikisema niandike na tuchambue kuhusu siri za Vatican, mada inaweza kuchukua mwaka mzima. Nimesoma vitabu vitano tu kuhusu Vatican, machozi yalinilenga.
Inabidi ulete huo Uzi, watu tunapaswa kufunguka zaidi kifikira aisee
 
Eeehh hawawezi kuelewa,, Naomba ujazie nyama hapa , lango la kuanzisha hiyo dini lilikuwa Ni Nini !?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Wajinga Sana wamefanya devide and rules
 
Uko sahihi sana Mkuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Akili ndogo haiwezi kutawala Akili kubwa Mkuu, hilo swali liko juu sana ya uwezo wa mtu wa kawaida sidhani kama utapata jibu
 
Akili ndogo haiwezi kutawala Akili kubwa Mkuu, hilo swali liko juu sana ya uwezo wa mtu wa kawaida sidhani kama utapata jibu
[emoji16][emoji16][emoji16]
Watu wangu Wana angamia kwa kukosa maarifa
 
Eeehh hawawezi kuelewa,, Naomba ujazie nyama hapa , lango la kuanzisha hiyo dini lilikuwa Ni Nini !?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Wajinga Sana wamefanya devide and rules
Hawa jamaa walianzisha dini mbadala ambayo Watakua wanapinga Uungu wa Yesu Ili waonekane ni ant Christ maana enzi hizo kulikua na vugu vugu la kanisa katoriki kuitwa wapinga kristo na wakristo wa mwanzo hasa wale waliokua nje ya mfumo wao hivyo ikabidi watengeneze Islam religion Ili aonekane Mohammed Abdulla kaanzisha mafundisho ya kupotosha watu na akijinadi ni dini mpya ili wale wakristo wengine waamini kweli mpinga kristo kaja na ana dini yake hapo Ndipo Mohammed Abdulla na genge lake wakapewa mission Huko Arabuni ya kufanya huo uhuni wa kufake kitabu wakidai ni muujiza umemshukia kumbuka jamaa alikua Merchant na anakubalika Kwa jamii yake hivyo ilikua ni rahisi kumpa mission jamaa aliyekua mjanja mjanja na mwerevu japo alikua hata kusoma na kuandika hajui ila maneno mengi na much know sana anaejua Tabia za jamii yake maana alikua Mtu wa kujichanganya Kila sehemu hivyo akaula akishawishiwa na Padre mmoja waliekutana nae Jerusalem kibiashara aingie deal na Vatican enzi hizo wakiwa makao makuu pale Constantinople Uturuki kabla
hawajahamia Italy na kweli deal lilienda vizuri sana mpaka jamaa akafanikiwa kuwaungunisha nusu ya jamii za waarabu ,ila baadae picha liliungua baada ya Mohammed Abdulla kupata Nguvu na kukubalika Arabuni,akawageuka jamaa na kumzimisha haikuwezekana maana wajahidina wa Mecca na Medina walilishwa sumu Kali Sana kiasi kwamba kuwaeleza Ile ilikua plan tu hawatakuelewa Kwa sababu hiyo dini ikawa kama identity Ya Jamii Yao,Muddy akaona hakuna kurudi nyuma kama wamevunja makubaliano Mimi sirudi nyuma,huo mgogoro ukiendelea mpaka ukaja zalisha crusade war Kwa warumi na Kaffir war Kwa Arabs na vita ikapiganwa Kwa Miaka mingi sana bila kuisha,
Kuna mambo mengi sana yakitokea mpaka kufikia hatua huyo yaani ipo siku nitaandaa madesa yenye ushahidi kabisa maana aliyeunguza picha mpaka Siri kufumuka ni
Napoleon Bonaparte Ile Miaka 1880's alipomteka Pope na kumkata kichwa na ndio walikuta makabrasha yenye Siri hizo na Kuna maandishi ya Siri waliyakuta chini ya kiti Cha Pope yameendikwa

"Mwenyezi Mungu ni Mmoja na Mohammed ndie mtume wake"
Sasa utajiuliza Hayo chini ya kiti Cha enzi Cha baba mtakatifu wa vatikani yalimaanisha Nini kama Sio Game of thrones!
Father of 2 Religions!

Ni hatari sana ila mkuu Haya mambo bwana yatasababisha kina nanii wanitafute wanipopoe mawe Mimi Simo Aisee ila nawasilisha tu!
hearly
😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯
 
Aiseee hatari Sana, Tunahitaji hii elimu aisee , jitahidi siku 1 utuletee hiyo simulizi Ni muhimu Sana
 
Aisee uko deep sana, hayo mambo ni mazito mno.
 
Hii Dunia Kuna watu wachache waliamua kubuni mbinu za kuwaburuza wenzao,wengi wakaingia kwenye mtego hatari sana kuja kuchomoka ni ngumu mno,Yaani Bora Mtu awe mtumwa wa mwili Kuliko mtumwa wa Imani
Yaani mental slave ni Mbaya sana!
Na sidhani Kama itaisha ,, Maana falsafa ya Maisha Ina hitaji dunia iwe na mtawala na mtawaliwa, ,

So kwa muktadha endapo hizo Imani zikipotea Binaadamu wenye akili nyingi wataweza vipi kuwatawala binaadamu wengine ambao Ni average thinker na wasio na akili kabisa !?
 
kweli Kabisa Kuna pahari nilisoma ya kwamba Dini ni Kwa ajili ya maskini na wajinga Ili kuweza kuwacontrol wasije Leta migongano na kuwasababisha matajiri washindwe kumaintain mambo Yao!
 
Hayo mawazo kwamba tunatumika umeyapata wapi,tuanzie hapo.
 
Sorry mkuu nimekusudia nyumba.


Annunaki hawakuwa na nyumba hapa duniani au nyumba ndio hizi pyramids ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…