Hawa jamaa walianzisha dini mbadala ambayo Watakua wanapinga Uungu wa Yesu Ili waonekane ni ant Christ maana enzi hizo kulikua na vugu vugu la kanisa katoriki kuitwa wapinga kristo na wakristo wa mwanzo hasa wale waliokua nje ya mfumo wao hivyo ikabidi watengeneze Islam religion Ili aonekane Mohammed Abdulla kaanzisha mafundisho ya kupotosha watu na akijinadi ni dini mpya ili wale wakristo wengine waamini kweli mpinga kristo kaja na ana dini yake hapo Ndipo Mohammed Abdulla na genge lake wakapewa mission Huko Arabuni ya kufanya huo uhuni wa kufake kitabu wakidai ni muujiza umemshukia kumbuka jamaa alikua Merchant na anakubalika Kwa jamii yake hivyo ilikua ni rahisi kumpa mission jamaa aliyekua mjanja mjanja na mwerevu japo alikua hata kusoma na kuandika hajui ila maneno mengi na much know sana anaejua Tabia za jamii yake maana alikua Mtu wa kujichanganya Kila sehemu hivyo akaula akishawishiwa na Padre mmoja waliekutana nae Jerusalem kibiashara aingie deal na Vatican enzi hizo wakiwa makao makuu pale Constantinople Uturuki kabla
hawajahamia Italy na kweli deal lilienda vizuri sana mpaka jamaa akafanikiwa kuwaungunisha nusu ya jamii za waarabu ,ila baadae picha liliungua baada ya Mohammed Abdulla kupata Nguvu na kukubalika Arabuni,akawageuka jamaa na kumzimisha haikuwezekana maana wajahidina wa Mecca na Medina walilishwa sumu Kali Sana kiasi kwamba kuwaeleza Ile ilikua plan tu hawatakuelewa Kwa sababu hiyo dini ikawa kama identity Ya Jamii Yao,Muddy akaona hakuna kurudi nyuma kama wamevunja makubaliano Mimi sirudi nyuma,huo mgogoro ukiendelea mpaka ukaja zalisha crusade war Kwa warumi na Kaffir war Kwa Arabs na vita ikapiganwa Kwa Miaka mingi sana bila kuisha,
Kuna mambo mengi sana yakitokea mpaka kufikia hatua huyo yaani ipo siku nitaandaa madesa yenye ushahidi kabisa maana aliyeunguza picha mpaka Siri kufumuka ni
Napoleon Bonaparte Ile Miaka 1880's alipomteka Pope na kumkata kichwa na ndio walikuta makabrasha yenye Siri hizo na Kuna maandishi ya Siri waliyakuta chini ya kiti Cha Pope yameendikwa
"Mwenyezi Mungu ni Mmoja na Mohammed ndie mtume wake"
Sasa utajiuliza Hayo chini ya kiti Cha enzi Cha baba mtakatifu wa vatikani yalimaanisha Nini kama Sio Game of thrones!
Father of 2 Religions!
Ni hatari sana ila mkuu Haya mambo bwana yatasababisha kina nanii wanitafute wanipopoe mawe Mimi Simo Aisee ila nawasilisha tu!
hearly
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91]