Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Cha kushangaza hao jamaa wametajwa kwenye kila jamii wahindu, wa misri, wa mayan pia baadhi ya afrika pia wapo, hivyo uthibitisho kuwa walikuwepo unaonekana
Yeah kuna ushahidi usio na shaka ya kwamba wale walioitwa miungu kwenye Jamii za kale walikua ni viumbe halisi either ni humanoid au Reptiles waliokua high advanced kwenye Technology than normal human being na ndio maana utaona hadithi zao ni kwamba walitoka Mbinguni (from sky)
Wahindi wanadai mungu wao Krishna alikua na flying machine sasa hapo si ni Spaceship hiyo?😁

Vile vile Jamii za MesoAmerica wanadai mungu Quetzalcoatl ambaye kwa wamisri ni Thot god of science and technology msanifu wa Pyramids zote around the World!

Kuna mambo bado yanazidi shangaza kuhusu ancient civilizations bado tunajifunza kubaini ukweli!
 
Endelea kudanganywa,
mimi I am a born again Christian and I will remain so until Christ comes back.This is because Christ wants me to be so. He has categorically stated no one will inherit the Kingdom of God unless he is born again.
Wewe haukuwa umezaliwa mara ya pili,ni mnafiki,a born again Christian can never back slide.
 
Ok
 

Summary Comparison of Views:​

ConceptScientific PerspectiveSitchin's Perspective
Age of Earth~4.5 billion years oldEarth is billions of years old, but the Anunnaki only arrived ~400,000 years ago
Origin of LifeLife began ~3.5-4 billion years ago (simple cells, evolution over time)Life was created or influenced by the Anunnaki's actions (but exact timeline unclear)
Hominid EvolutionHominids evolved over 6-7 million years, gradually leading to modern humansHumans were created by the Anunnaki ~400,000 years ago, through genetic engineering of earlier hominids
Homo sapiens (Modern Humans)Evolved in Africa ~300,000 years ago through natural processesCreated by the Anunnaki to mine gold; not the result of natural evolution
Role of ExtraterrestrialsNo evidence of extraterrestrial involvement in human evolutionAnunnaki are extraterrestrials who engineered humanity for gold mining

Conclusion:​

  • In mainstream science, hominids evolved over millions of years through natural processes, from early primates to modern humans. Humans (Homo sapiens) are the product of evolutionary processes over 6-7 million years, and modern humans appeared around 300,000 years ago.
  • In Sitchin's theory, the Anunnaki arrived on Earth about 400,000 years ago and genetically engineered early hominids like Homo erectus to create Homo sapiens as a slave species. According to Sitchin, the Anunnaki played a direct role in the creation of modern humans and their civilizations, driven by the need for gold to save their home planet.
While mainstream science rejects the idea of extraterrestrial involvement, Sitchin's theories remain part of fringe narratives and alternative history discussions. Both views offer different answers to the origins of humanity, but from a scientific standpoint, human evolution is understood as a natural process occurring over millions of years, without any external interference from extraterrestrial beings.

Zingatia kuwa bado Hadithi za Anunnaki ni Pseudoscience tu,zisiso na mashiko yoyote,ila ni vyema kuchangamsha vichwa kwa kuwa Kuna matrix Kila sehemu kwa kufahamu baadhi ya mambo scientifically you can be free unlike the popular mass on earth,like knowing your true power within yourself,ambazo kimsingi Mila,desturi na tamaduni karibia zote wanazo hizo skills.Cha kujua na kufahamu ni kuwa the recent matrix ni wanatupumbaza na mambo mengi mazuri kwa mabaya,na mabaya kwa mazuri.
 
Kwani
a) Swali: Huyu ANUNAKI alitoka wapi? Jibu: Kwenye sayari nyingine.
b) Swali: Huko kwenye sayari nyingine huyu ANUNAKI alitokeajetokeaje? Jibu: Aliumbwa na Mungu.
c) Swali: Kwahiyo na yeye Aliumbwa na Mungu ndio akaja huku duniani? Jibu: Kama HAKUNA maelezo alitokea wapi, basi nae aliumbwa na Mungu.
d) Swali: Kwahiyo ukuu wa Mungu ni zaidi ya ANUNAKI? Jibu: NDIYO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…