Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenda zako Huna ulijualo umekariri ujinga tu,Joseph aliuzwa kwenye caravan za Wamidian wale wala tende na maziwa ya ngamia kutoka jangwani,Hahaha, haujui history ya dini ya kikristo Mkuu. Ungeijua usingebisha. Roma imeitawara Israel, ugiriki imeitawara Israel, misiri imeitawara Israel, kushi, Ethiopia, wachina, India, America imehusika na shuguli za Israel. Unaijua contact ya kibiashara ya kipindi Cha Ibrahim Hadi Joseph mtoto wa yakobo anauzwa misiri???. Hao wafanyabiashara waliomnunua walikuwa wanatoka wapi na wanaenda wapi?. Roma ilipoitawara Israel ujue kulikuwa na contact baina ya America, ulaya na Asia katika maswala ya kibiashara. Mkuuu Mambo ni mengi ya kukueleza. By the way Mimi nimesomea history of the Earth from it's formation na ujio wa viumbe kuanzia mimea Hadi binadamu. Ukweri ni Kuwa viumbe vya kiroho vipo Hilo sipingi hata kwenye biblia Hilo swala kulikuwa kumuzo ndiyo Paulo katika barua kwa wakolosai alitoa jibu
Wakolosai 1:15-16
[15]naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Who is the image of the invisible God, the firstborn of every creature:
[16]Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
For by him were all things created, that are in heaven, and that are in earth, visible and invisible, whether they be thrones, or dominions, or principalities, or powers: all things were created by him, and for him:
Tambua pia ukuu wa binadamu ni mkubwa kuliko viumbe vya kiroho yaani malaika, hao pepo wote majini, alliens, annuanaki etc hivyo hayawezi kuhusika na kumuumba binadamu, original ya viumbe vya kiroho ndiyo original ya binadamu pia. Ote viumbe vilivyoumbwa. SoMo Hilo ni pana Sana. Soma waebrania sura ya 1na ya 2 yote pia utaona ukuu wa binadamu
Waebrania 2:5-6
[5]Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena, ila mtu mmoja ameshuhudia hivi mahali fulani, akisema,
For unto the angels hath he not put in subjection the world to come, whereof we speak.
[6]Mwanadamu ni nini hata umkumbuke,
Ama mwana wa binadamu, hata umwangalie?
But one in a certain place testified, saying, What is man, that thou art mindful of him? or the son of man, that thou visitest him?
Hapana mkuu nimekuelewa sina haja ya kupinga dhana anayoamini mleta mada au nyie wote kwa pamoja, labda tu kuuliza ili kufahamu zaidi.Habari za anunaki ni dhana iliyo kwenye maandishi kama ilivyo kwa dhana nyenginezo za kiimani
Mtoa anajajaribu kutumia utashi alionao katika kuhakiki dhana azijuazo kupitia nyenzo za uhakiki wa kitaalam ili kupata mtiririko uletao maana
Na sisi tunakubaliana nae katika hili analofanya Hakuna tatizo
Sasa kama una hoja za kupinga mtiririko alioanisha kwenye kutetea hoja yake weka
Nazipinga kwa sababu lengo lake ni kutawala watu n siyo kuwaambia ukweli juu ya uumbwaji wetu, zingesema tumeumbwa na Annunaki kuliko kusema tumeumbwa na kitu ambacho hakifananishwi na chochote, kisicho na mwili na wala hakionekani, kwamba mpaka uone aliye kuumba ni hadi siku ya kiama, hata roho za watu wanaokufa mpaka sasa hazijaonana naye, yaani zinasubiri siku ya hukumu na huyo huyo ametuumba kwa mfano wake ila eti yeye hafananishwi na kitu na haonekani kamwe, mbaya zaidi hata mitume hawakuwahi kumuona bali maono waliyapokea kwa njia ya malaika kutoka kwa huyo aliyetuumba, mimi hapa ndipo sikubaliani na dini, naamini tumeumbwa na kiumbe mwenye kuishi na uhai kama sisi.Kama ndiyo hivyo Basi dini zinaukweri. Na Kama zinaukweri kwa Nini mleta mada anazipinga Tena???.
Historia kutoka katika summerian culture inaeleza kwamba, Annunaki waliabudiwa na walihusika katika kuhukumu mema na mabaya, gods and goddesses waliokuja duniani kumtengeneza mtu (modern man) kutoka kwenye ulimwengu mwingine, ambao unasemekana ni sayari ya Nibiru (sumerian God & Goddesses -the Annunaki, 2016).Nazipinga kwa sababu lengo lake ni kutawala watu n siyo kuwaambia ukweli juu ya uumbwaji wetu, zingesema tumeumbwa na Annunaki kuliko kusema tumeumbwa na kitu ambacho hakifananishwi na chochote, kisicho na mwili na wala hakionekani, kwamba mpaka uone aliye kuumba ni hadi siku ya kiama, hata roho za watu wanaokufa mpaka sasa hazijaonana naye, yaani zinasubiri siku ya hukumu na huyo huyo ametuumba kwa mfano wake ila eti yeye hafananishwi na kitu na haonekani kamwe, mbaya zaidi hata mitume hawakuwahi kumuona bali maono waliyapokea kwa njia ya malaika kutoka kwa huyo aliyetuumba, mimi hapa ndipo sikubaliani na dini, naamini tumeumbwa na kiumbe mwenye kuishi na uhai kama sisi.
Hahahah, tulia dawa iingie Mkuu, kweri Joseph aliuzwa kwenye caravan za wamidiani. Swali unaijua hiyo route ya caravan ilikuwa inaanzia wapi na kuishia wapi, ilihusisha biashara zipi??. Tulia Mkuu kunasomo linaitwa middle East early contact with Asia, America, Europe and far east. Google utaipata ujifunze mengi Mkuu. Ili useme dini ya kikristo ni yaungo unapaswa kujifunza mengi kwanza. Wazungu waliishindwa kuifuta wakaamua kuikumbatia.kwenda zako Huna ulijualo umekariri ujinga tu,Joseph aliuzwa kwenye caravan za Wamidian wale wala tende na maziwa ya ngamia kutoka jangwani,
Hey Bob hapo umetoa Boko historia huijui believe me Kamanda!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
hahahah eti wazungu walishindwa kuifuta wakati ndio walioitengeneza,wewe ushaona wapi kinyago kinamtisha mchongaji?Hahahah, tulia dawa iingie Mkuu, kweri Joseph aliuzwa kwenye caravan za wamidiani. Swali unaijua hiyo route ya caravan ilikuwa inaanzia wapi na kuishia wapi, ilihusisha biashara zipi??. Tulia Mkuu kunasomo linaitwa middle East early contact with Asia, America, Europe and far east. Google utaipata ujifunze mengi Mkuu. Ili useme dini ya kikristo ni yaungo unapaswa kujifunza mengi kwanza. Wazungu waliishindwa kuifuta wakaamua kuikumbatia.
Jiulize maswali yafuatayo katika attachment
View attachment 2126417
Mkuu haya maswali yako ni mazuri mno, ila tumeshayajibu na kuyajadili karibia kila sehemu ya huu uzi. Sasa unapotaka nirudie tena, tunakuwa tunachoshana na kupotezeana muda. Ningependa u quote majibu tuliyo yajadili kama hujarizika nayo ndiyo uulize.Historia kutoka katika summerian culture inaeleza kwamba, Annunaki waliabudiwa na walihusika katika kuhukumu mema na mabaya, gods and goddesses waliokuja duniani kumtengeneza mtu (modern man) kutoka kwenye ulimwengu mwingine, ambao unasemekana ni sayari ya Nibiru (sumerian God & Goddesses -the Annunaki, 2016).
Hiyo nayo ni history tu pia Mkuu umesema.
Sasa hao viumbe Annunaki waliumbwa na Nani???. Hiyo sayari waliyotoka ilitokea wapi au iliumbwa na Nani???. Hawa viumbe walitoweka kwa namna gani Hadi kutokuwepo kwa Sasa hapa duniani??.
Majibu tafadhali mkuu
Ungejifunza kuandika vizuri. Bla bla nyingii.Tz mbongo
Kisai
Quez
Nyote nyinyi hamueleweki zaidi mswali yenu hayan logic zaidi y udini mtupu
Wewe Kisai ubongo wako umeharibiwa na masimulizi ya waharabu tu, nje na hapo una unachokijua.
Umekomlia udini, yani dini ya Muslim kwako wewe ndiyo kila kitu, dini inayofundisha udini na kuleta matabaka kwa watu, dini ambayo watu wake Iran, Libya, Syria, n.k wanachinjana kama kuku na kumwaga damu, dini inayohimizi kufuga na kuishi na majini, dini inayofundisha nyinyi n bora kulko wengine, nyinyi ndiyo wenye haki wengine makafiri, dini inayofundisha kumpiga mtu mawe hadi kufa, dini inayofundisha kumkata n kumchinja mtu endapo atahama dini, hii kwako ndiyo bora ?na unaimini.
AI mada yake iko open kabisa, kwamba mtu aliumbwa na Annunaki mada haisemi Mungu wenu hakumuumba, inawezekana Annunaki ndiyo Mungu wenu ila nyny hamjuhi, ndiyo mjue kuanzia sasa,
Kisai umekomaa chain chain, mleta mada alikuwa family tree ikionyesha kuanzia kwa Enki kabla hata hao mitume wenu uchwara hawajazaliwa, hukuona?, unataka uonyeshwe video mtu wa sumer akisimulia hayo, ww unaweza kutuonyesha mtu aliyemuhoji Muhammed? , hiyo chain ww uliipataje kama n vitabu huna tofauti n mleta mada naye katumia vitabu, unaleta habar za uhakiki kwa kutumia kitabu chako, mleta mada naye vitabu vyake vimehaliliwa, au unataka afanye time travel akawahoji sumerians mwenyewe?, huo ndiyo uhakiki unataka? Unaamini katik historia iliyo hakikiwa na watu wengine, ila yeye mleta mada akitumia historia hiyo hiyo iliyohakikiwa na wengine kama reference hutaki, why?
Mleta mada amekuuliza uliwahi kumuhoji Muhammed mwenyewe kama njia ya kuhakiki ulichokisoma, umeruka ruka kama maharage, au tuonyeshe kwamba huu hapa n mfupa wake ili tukuamini, hamna unacholeta unaruka ruka na masimulizi ya waharabu hao, ambao hata Allah hakuwaumba, ila hujuhi upo upo tu.
Quez umekazania muumbaj wa anunak, kashakuambia wametoka sayari nyingine siyo hii ya Mungu wenu wa dunia. Mfano akihamua kukujibu anu ndiye Muumbaji na Mungu wao, vip utalizika?
Tz mbongo wewe n egoism zinaksumbua kwa mleta mada, masimuliz ya Qaran ambayo hata Allah hujawahi kuona fuvu lake umekomaa kuyaamini, ila haya hutaki umekomaa uhandishi tatiz, labda umfuatilii AI hapa Jf intelligence, kasome ujipime, mnapomuuliz maswal yasiyokuw n logic na yeye lazima awaulize n kwa mwendo huo hamuwezi kuafikiana kihoja, kila mwamba ngoma anavutia kwake.
Quez unauliza solar system n nini? Sirias kabisa, kwenye dini zenu kuna mahali pameandikwa Mungu aliumba solar system?, imeandikwa ameumba dunia, binadamu na vilivyoma, ktk solar system tuna sayar zaidi ya 13, kwhy kama aliumba dunia tu, kuna waumbaji waliomuzidi akili kwa kuumba sayari nyingine na viumbe wengine, kwahiyo na yeye Mungu aliumbwa.
Kwahiyo kam hutak mleta mada atumia reference za vitabu, basi na ww usitumie reference za vitabu, hivyo bas hili uwe sahihi kuliko yeye huo uhakiki uwe umeufanya ww mwenyewe, yaan umekutana Mungu au mitume na kufanya nao mahojiano, then utuwekee hapa tuone, tofauti n hapo itakuw n yale yale.
Hizo zinawezaje kuthibitisha kwamba binadamu kaumbwa na annunaki ?geological time scale nini, lead-uranium, carbon 14 dating n.k technology ni nini hizo? Au siyo teknology hizo, unatak useme ni sayansi
Na hiyo nii shida.Mkuu hii mada ni nzuri tu ila tatizo mmeweka mbele sana dharau kwa watu wa dini pamoja na dini zenyewe na hilo limeharibu sana hii mada, na tatizo hilo limeanzia kwenye mada yenyewe ilishaanza kushambulia dini kwahiyo toka mwanzo michango ya watu dini inatafsirika kama ni kujibu mashambulizi na kwa hali hiyo mkuu ni ngumu kuelewana.
Sidhani kama mtoa mada ameainisha msimamo wake kuwa yeye ni nani, labda hili atatusaidia mwenyeweBinafsi sijaelewa tu nafasi ya atheists katika hii dhana.
Mleta mada kwa nilivyomuelewa mimi kwenye post yake #590 ni kwamba haipingi uwepo wa Mungu anakubali ila ana dhana yake mwenyewe kuhusu hicho kinachoitwa Mungu ni tofauti na dini, yeye anaamini katika minds zetu binaadamu kwamba zina nguvu sana kuliko tunavyofikiri hivyo ni sawa na wale watu wanaoamini kwamba sisi binaadamu ndio miungu yenyewe na si kwamba kuna Mungu huko juu ndio mwenye kuamua kila jambo.Sidhani kama mtoa mada ameainisha msimamo wake kuwa yeye ni nani, labda hili atatusaidia mwenyewe
Lakini kwa jinsi nilivyosoma bandiko lake hili, nadhani ni kama mtu anayetafuta uwiano wa nadharia hizo mbili za mungu wa kiibrahim na Anunaki, kuhusu nani mmiliki halali wa binadamu
Nadhani si mpingaji wa moja kwa moja juu ya uwepo wa mamlaka kuu iliyotokeza mambo yote
Lakini kwa atheist uthibitisho ndio kitu muhimu, ikiwa atathibisha kwa uhakika kulingana na vigezo vya kitaalam basi suala la anunaki halitakuwa dhana au hadithi tena, bali itakuwa ni historia ya wazee wetu waliotutangulia
Kama atheist atakuwepo hapa atakuwa mtu wa kutazama reference ziwekwazo huku akishushia kinywaji laini na popcorn akizoom watu wanavyohenyeka_ni ngumu sana kwa atheist kuchangia hapa
Nakazia hapa.Sidhani kama mtoa mada ameainisha msimamo wake kuwa yeye ni nani