Annuur: Serikali imefuta mitihani ya Dini !!!!!!!!!!!

Annuur: Serikali imefuta mitihani ya Dini !!!!!!!!!!!

ok sawa lakini hebu niambie ni nani kaiwakilisha panel ya islamic knowledge? bakwata hawakuhusishwa, naomba niambie au labda alihusishwa ponda? SIKU ZOTE NTAPINGANA NA USIRI KTK MAAMUZI YANAYOGUSA JAMII KAMA HILI.

Unajua mkuu suala la dini limekuwa gumu sana, hasa inapoonyesha kuna malalamiko. Angalia, baada ya hayo, gazeti halionyeshi kama wamefanya mahojiano na mtu yoyote wa Wizara au NECTA.

Katika msingi huo watu tuliosoma tujitahidi kuangalia kama kuna harufu ya kutugawa. Hakuna ambacho hatutalaumia, hata kesho ukisikia kuna mtu wa dini yako yuko NECTA, MoEVT bado haya utayasikia kwa sababu tumejengwa katika kulaumu.
 
Back
Top Bottom