MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hahaha Bobby V was ahead of his time.Umenikumbusha Tell Me....Slow Down
Slow down, I just wanna get to know you
Turn around, bless me with your beauty, cute.
Kaishia wapi Bobby Valentino?
Umenikumbusha Tell Me....Slow Down
Slow down, I just wanna get to know you
Turn around, bless me with your beauty, cute.
Kaishia wapi Bobby Valentino?
Uzi wa wahenga huu.... sisi kina bieber tukae pembeni
Doh.
Kwa saundi hizi
Soon nategemea uzi kuanzishwa wa mkuu Malcom Lumumba kapata couple JF na mrembo naniliu...
Sijamjua kabis aaiseeeAaah kwani Partner wangu humjui ???
Alinikimbia humu kisa nilimkosea kidogo,....Sijamjua kabis aaiseee
Ha ha ha haAlinikimbia humu kisa nilimkosea kidogo,....
Ndiyo nambembeeleza arudii...amekuwa anonymous..!
Atapatikana tuuu.Ha ha ha ha
haya aseeee, mdogo mdogo utampata.
Asee natafuta kitabu chochote kizuri kinachozungumzia nguvu ya purchasing power ya youths.
I.e nguvu ya vijana katika manunuzi wanapokuwa wanapesa mkononi.
Usiombe ukapigiwa hiyo nyimbo wakati wa game......just turn around...[emoji8] [emoji8] [emoji8]Slow Down- Bobby V
Tell me- Bobby V ft Wyne
Top notch......
Mkuu naomba unisaidie kama unavyo mkuu.Atapatikana tuuu.
Teh teh teh teh teh!
Mkuu vitabu vya hivyo vipo vingi sana!
What are u drinking Imma buy a bar...Umenikumbusha Tell Me....Slow Down
Slow down, I just wanna get to know you
Turn around, bless me with your beauty, cute.
Kaishia wapi Bobby Valentino?
What are u drinking Imma buy a bar...
Growing up loving this song..
Braaaaav, what up!!!!What are u drinking Imma buy a bar...
Growing up loving this song..
And they ain't coming back.....!Dem good ol' days.....