Another BossLady in the House, Hodiii

Ualimu ni taaluma yenye maadili yake haijalishi uko wapi na kama upo kwenye nyakati binafsi/private moments huna sababu za msingi kutupostia

Wapo watu ambao ni mabosi hasa/money makers hawana shobo hizo sembuse mwalimu tena h/mistress mwenye pesa ya dagaa tu halafu mara mipicha mara.....ualimu hauko hivyo kwanza unadhalilisha walimu wenzako!!!..Pia wanawake wenzako


Kama una watoto mwalimu tayari wewe hupaswi kuigwa hata na wtt wako!!...halafu hujui hiyo mipicha haifutiki humo mitandaoni ebo!!! Kesho wanakuona mama umevaa kama mdangaji. Eti unajiita boss lady...idiot !!!
My take wewe sio nini wala nini ni limbukeni flan uliyetoka huko kwenu mbwinde tena unataja hadi kabila lako unamfahamu side effects zake?!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini unataka tukuulize maswali,unahisi unajambo gani la ziada ambalo tunapaswa kulifahamu lenye tija ukiacha huo ualimu na headsphone zako

by emma mjasiriamali
 
Itabidi nikafanye application DUCE naona mengi yananipita. Uko shule gan niombe field kabisa kwako?
 
Mwalimu Mkuu Headmistress Akipeea Mimba Nae Anaacha Shule??
Magu Naomba Ufafanuzi Koz Soon Navimbisha Mtu.
 
Mistress mapozi gani hayo yakichokozi huko shuleni veeeeepeee Kuna usalama kweli na wanafunzi.
 
Nadhani hizo picha si zake ila kuna mtu anataka kumnanga mwenye picha hizo. Hii ni kulipizana kisasi Husna_TheBossLady
 
soo good to me
 
Mbona huna maadili ya kiualimu...?? Hu behave like a Teacher haswa Mwalim mkuu, because Teaching is Noble professional @ Husna Mrembo....

Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…