Another BossLady in the House, Hodiii



Huez kua mgeni humu alafu post yako kwanza ikawa hii... hii ni mwenyeji ila ni ID mpya tu!




Wasiwasi wangi ni kua unaeza kua mwanaume asee! Sio kwa fujo hizo za new id


Kwa wanaume wa Dar wala hujakosea, usikute kaweka tu id ya dada yake ili aopolewe na kupakuliwa kisamvu.
 
Hahaaa...yaani huyu jamaa amenichekesha saa saba Usiku hii numesoma uzi wake wa kuuza vitanda hapa Aisee. Yaani kutoka bosi mpaka mchuuzi wa vitanda duu kuishi kwingi kuona mengi...
 
Mods naomba huu uzi uwekwe sticky na upelekwe jukwaa la celebrities.
Husna the boss lady becames Eric Otieno.

Huu ni umaarufu mkubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume kujifanya mwanamke ni dalili mbaya sana.
Alikuwa kazini huyo.
Kuna walioliwa pesa zao.

Kuna watakao kamatwa kama kuku kutokana na makosa ya kimtandao kwa wale waliotoa namba za simu na utambulisho wao halisi.
 
Alikuwa kazini huyo.
Kuna walioliwa pesa zao.

Kuna watakao kamatwa kama kuku kutokana na makosa ya kimtandao kwa wale waliotoa namba za simu na utambulisho wao halisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiseme hivyo watu watajinyonga maana nasikia orodha ni ndefu sana.

Ile picha ya Husna anakula kongoro iliwanasa wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…