Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Live long my post.Hapa ulionesha kuwa unaijua PM
Halafu huku ukaja kukana kuwa huijui PM.
Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe sio mgeni hapa JF, nimefuatilia post zote kuanzia page ya 1 hadi ya 6 inathibitisha hiyo.
Usituhadae na ID mpya, dhamira yako ya kuwa na hii ID mpya utaitimiza.
Salute JF