Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

764139058000b0a292d680406024059e.jpg


Huez kua mgeni humu alafu post yako kwanza ikawa hii... hii ni mwenyeji ila ni ID mpya tu!


88f186264b786fc11fb9019c8655f4ee.jpg


Wasiwasi wangi ni kua unaeza kua mwanaume asee! Sio kwa fujo hizo za new id
noomaa saana we jamaa
 
Nkima bhebhe ulipamana Igurubi enaho

Kumbe wa nyumban bosslady mimi ni jirani yako hapo tuna 'share same background' na tunaweza elewana vzr tunapokula 'nswalu' na 'mzubagulo' bila kusahau na 'ntwili' na 'mboboto' kwa mbali
 
Back
Top Bottom