Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Daaah Otienoo yooo umenikumbusha lile shairi la form three aisee
Otieno yooo..
 
Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social

::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady🙂 comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!

Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.

Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.

Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.

Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.
View attachment 530266 View attachment 530267 View attachment 530268 View attachment 530270
Mbona husomeki, wewe ni shoga au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ID nyingi za kike ziko more likely kuwa za wanaume...since wanawake ndio wanaopewa attention.

This 'Husna lady' drew huge attention for a very short time!

He showed men what they wanted
- uwezo mzuri, ili asionekane Anashida na Pesa za wanaume.Ko akajiita headmistress.
-Kuonesha kuwa yuko cool na sio mcharuko...anaangalia movies Ana chill home.
- kujionesha jasiri na mtu anayejikubali kwa kutuonesha picha, tofauti na wanawake wengine wa jf.

'She' was really interesting.
I was shocked nlivokuja kugundua ni mwanaume.
It was funny though.
Jamaa akawe actor.

Ila who was the girl kwenye picha?
 
Back
Top Bottom