Another BossLady in the House, Hodiii

Hata umesikika, asante kwa kuendelea kufuatilia🙂
 
Hata umesikika, asante kwa kuendelea kufuatilia🙂
 
Eeeeeeeeeh jamani umenitoa kicheko hadi nitashindwa kula chakula nikikosha koo na mashavu yangu manono.

Huyo ana mke, mimi shabiki tu.

Alishasema anaweza ana mamlaka ya kumwondoa yeyote kwenye jiji lake, tena uondoke na ndala zako tu, mi sitaki shida naye kabisa.
 
Business ad usual
 
Wazazi wenye watoto wanaosoma dar wajiangalie
usije kuta mwanao anasoma shule na huyu
ndiye head mistress wake.

Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar.

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
 
Aiseeee
Ila mie sina madhara ujue... Nimemkaribisha mwalimu tuu [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Hata kama, lengo la kuomba kukaribishwa siyo ninyi mmkaribishe, ni sisi.

Ndo maana kuna mahali kasema mbona mmenuna? Sasa kuepusha hilo ni bora muondoke, nitakuja kukudokeza kama utambulisho umefana au la.
 
Hata kama, lengo la kuomba kukaribishwa siyo ninyi mmkaribishe, ni sisi.

Ndo maana kuna mahali kasema mbona mmenuna? Sasa kuepusha hilo ni bora muondoke, nitakuja kukudokeza kama utambulisho umefana au la.
Sawa kaka...

Samahani mwalimu sikujua ka huku ni wanaume tuu... But niko na kaka
 
Wewe ni bosslady wa papuchi. Huna sifa ya kuwa headmistress kama unavyodai. Maadili zero.
 
Jamani mbona imekuwa ugomvi? Au mnataka mbaki wenyewe tu huku JF? mnanishambulia utadhani nimemtukana mtu! Picha mmeomba wenyewe saivi mnahoji picha za nini mweh!! Naweza kuwa mzoefu kama msomàji, sasa kufungua ID imekuwa kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…