Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
Karibu sana bibie..
Kiukweli u mrembo sana Hadi mm nimekupenda..
Vzr ungeweka na namba ya simu
Sawa HB
 
Sikukuu hii hiyo ni njia ya kutaka kutupiga vizinga PM vya kununulia viwalo na mtoko. Unakuta kumbe dume limechukua picha za mtu insta linazitumia kutuibia.
 
Karibu ukumbini

Napenda kujua kwanini umerusha picha zako!? Ila umenitamanisha nirushe zangu pia maana wanione tu kwa jinsi nilivyo mpole sana humu.
Daaaah hebu Fanya kutest kunitumia pm ila ufute fastaa Kabla mbabe Wa vita AraC Bashite hajavamia na ile misilaha ya kivita.
 
f39fe7ce3147a9eb4aa09d41105e0141.jpg


Wewe ni mwalimu.? Tena head mistress! Ni kwa huu utawala wa Magu au kikwete.. Naomba jibu boss lady
 
Pesa imekuwa ngumu kiasi hiki!!?
Creativity 100%
Haya subiri HeadMasters waje! Wamejaa tele humu!
 
764139058000b0a292d680406024059e.jpg


Huez kua mgeni humu alafu post yako kwanza ikawa hii... hii ni mwenyeji ila ni ID mpya tu!


88f186264b786fc11fb9019c8655f4ee.jpg


Wasiwasi wangi ni kua unaeza kua mwanaume asee! Sio kwa fujo hizo za new id
Kuna watu wameumbwa kuchunwa humu, atawachuna lengo litimie
 
Back
Top Bottom