Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Sasa hapo unaenda mbali Mkuu...mwisho utauliza nimevaa nguo ya rangi gani
Hizo picha tu inaonyesha mara nyingi huwa huvai nguo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo unaenda mbali Mkuu...mwisho utauliza nimevaa nguo ya rangi gani
Hizo picha tu inaonyesha mara nyingi huwa huvai nguo
Karibu ukumbini
Napenda kujua kwanini umerusha picha zako!? Ila umenitamanisha nirushe zangu pia maana wanione tu kwa jinsi nilivyo mpole sana humu.
Karibu ukumbini
Napenda kujua kwanini umerusha picha zako!? Ila umenitamanisha nirushe zangu pia maana wanione tu kwa jinsi nilivyo mpole sana humu.
Hadi hii sikukuu ipite tutaona mengi![emoji30][emoji30][emoji30]
Kigoli [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] acha utani mkuuMbinu unazotumia za A. Madrid cha kocha wqko kumnasa huyu kigoli
Sawa mkuu na itabidi nikupe mrejesho Mrs airinshallaha umjue sheikh
Fanya nawe utupie pic mkuu ili kumsapoti h/mfanya yako miss!kitendo cha kutupia picha humu ni cha kupaswa kuigwa kwakweli! ana NIA THABITI YA KULIPELEKA TAIFA TO ANOTHER STEP
Rusha pm nikuone huo upole unaozungumziaKaribu ukumbini
Napenda kujua kwanini umerusha picha zako!? Ila umenitamanisha nirushe zangu pia maana wanione tu kwa jinsi nilivyo mpole sana humu.
mbona wanawake wenzangu mnamshambulia mgeni? mlitaka nidanganye kazi, nilipo, kabila...au mlitaka nijitambulisheje mashosti?!
Hivi mdogo wangu umeanza lini ukachero.Halafu huku ukaja kukana kuwa huijui PM.
Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe sio mgeni hapa JF, nimefuatilia post zote kuanzia page ya 1 hadi ya 6
Halafu huku ukaja kukana kuwa huijui PM.
Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe sio mgeni hapa JF, nimefuatilia post zote kuanzia page ya 1 hadi ya 6 inathibitisha hiyo.
Usituhadae na ID mpya, dhamira hako ya kuwa na hii ID mpya utaitimiza.