Another BossLady in the House, Hodiii

Kwani ikiwa id mpya kuna tatizo gani
 
Karibu sana ukutane na wanampenda miteremko. Wameona umekamatia glasss wanajileta wanajua hamna gharama hapo.
 
Jamani mbona imekuwa ugomvi? Au mnataka mbaki wenyewe tu huku JF? mnanishambulia utadhani nimemtukana mtu! Picha mmeomba wenyewe saivi mnahoji picha za nini mweh!! Naweza kuwa mzoefu kama msomàji, sasa kufungua ID imekuwa kosa?
Usijali mwalimu huo ndo ukaribisho wenyewe Sasa.
 
Heehee kuchunana hakutamwacha mtu salama

cc. Pare forum
 
Jamani mbona imekuwa ugomvi? Au mnataka mbaki wenyewe tu huku JF? mnanishambulia utadhani nimemtukana mtu! Picha mmeomba wenyewe saivi mnahoji picha za nini mweh!! Naweza kuwa mzoefu kama msomàji, sasa kufungua ID imekuwa kosa?
we achana nao fanya yako...kuna watu wanamalizia stress humu...
ukiwafikiria sana na maneno yao utajipunguzia umri wa kuishi.

ukiona maneno makali usijibu..yaruke.
 
hahahaha rushaaaaaaa! wenye sura zao na shape zao! mtu km mie na umichelini huu naanzaje kwanza ! teh teh kwanza internet itakata masaa 8! ikirufi inakuwa down siku 3!hatari sana
hahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…