Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Halafu huku ukaja kukana kuwa huijui PM.

Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe sio mgeni hapa JF, nimefuatilia post zote kuanzia page ya 1 hadi ya 6

Halafu huku ukaja kukana kuwa huijui PM.

Nahitimisha kwa kusema kuwa wewe sio mgeni hapa JF, nimefuatilia post zote kuanzia page ya 1 hadi ya 6 inathibitisha hiyo.

Usituhadae na ID mpya, dhamira hako ya kuwa na hii ID mpya utaitimiza.
Kwani ikiwa id mpya kuna tatizo gani
 
Karibu sana ukutane na wanampenda miteremko. Wameona umekamatia glasss wanajileta wanajua hamna gharama hapo.
 
Jamani mbona imekuwa ugomvi? Au mnataka mbaki wenyewe tu huku JF? mnanishambulia utadhani nimemtukana mtu! Picha mmeomba wenyewe saivi mnahoji picha za nini mweh!! Naweza kuwa mzoefu kama msomàji, sasa kufungua ID imekuwa kosa?
Usijali mwalimu huo ndo ukaribisho wenyewe Sasa.
 
Jamani mbona imekuwa ugomvi? Au mnataka mbaki wenyewe tu huku JF? mnanishambulia utadhani nimemtukana mtu! Picha mmeomba wenyewe saivi mnahoji picha za nini mweh!! Naweza kuwa mzoefu kama msomàji, sasa kufungua ID imekuwa kosa?
we achana nao fanya yako...kuna watu wanamalizia stress humu...
ukiwafikiria sana na maneno yao utajipunguzia umri wa kuishi.

ukiona maneno makali usijibu..yaruke.
 
hahahaha rushaaaaaaa! wenye sura zao na shape zao! mtu km mie na umichelini huu naanzaje kwanza ! teh teh kwanza internet itakata masaa 8! ikirufi inakuwa down siku 3!hatari sana
hahahhaha
 
Back
Top Bottom