Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social

::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady🙂 comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!

Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.

Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.

Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.

Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.
Karibu sana dar uko mitaa ipi

Sent from my SHV-E210S using JamiiForums mobile app
 
764139058000b0a292d680406024059e.jpg

Huez kua mgeni humu alafu post yako kwanza ikawa hii... hii ni mwenyeji ila ni ID mpya tu!

88f186264b786fc11fb9019c8655f4ee.jpg

Wasiwasi wangi ni kua unaeza kua mwanaume asee! Sio kwa fujo hizo za new id
Hehehehe
 
Jmn. Haha mwachen boss lady jmn. Boss lady natafta kaz mm n me alimu Wa English kisw na French. Kama htojal ebu ninaomba mawasiliano unipe kaz bnaa achana na comment za HVO. Intact nmekuekewa mwalim mwenzangu.0743955630. Nkipata popote kufndsha poaa. Magu ashatukatilia mbalii die. Boss Wang no the boss lady
 
Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social

::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady🙂 comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!

Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.

Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.

Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.

Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.
Duu..kila la kheri huko p.m mkuu utakutana huko na mengi zaidi
 
Sio stunt za kuchomoana mitonyo kipindi hiki cha sikukuu kweli,mbona uzi ulipoa kipindi cha mfungo?
 
Naona umekuwa mrembo baada ya kuja mjini kutokea Itumba sijui Mwanzugi. Karibu jukwaani naona mabinti wadogo wa Igunga siku hizi mmevamia mjini mkianza na Zuwena aka Shishii beib[emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Husna nina kitu cha kukuambia. Ila sitakufuata PM kama hutojali itabidi unifuate wewe. Its for u, Seriously.
 
Husna mi ni afisa elimu Dar na mbona sijawai kumuona mkuu wa shule mwenye sura yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom