Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne.
Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje ya nchi.
Makubaliano hayo yamesainiwa leo hii Septemba 17, 2021 jijini Dar es Salaam ambapo upande wa Simba uliwakilishwa na mtenfsji mkuu Bi Barbara Gonzalez.
Hii ni hatua nyingine kubwa na nzuri kwa vilabu vyetu katika kuendelea kuufanya mchezo wa mpira wa miguu kuwa wa kibiashara "commercialisation of football"