Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Una
Una uhakika na unachokiongea au unarukia mambo tu unayochukua mitandaoni uko unameza mazima maxima bila kufanya utafiti wa kutosha!!!Kwenye Azam ni kwamba Simba haijakubali kulinganishwa na Yanga, ndio maana Azam TV wanaonyesha baadhi ya matukio maalum tu kwa makubaliano maalum, na sio kununua haki zote za kila tukio la Simba, hadi mazoezi kama ilivyokuwa kwa Yanga, kwa muda wa miaka 10. AzamTV wakikubaliana na masharti ya Simba, mkataba utasainiwa. Kama haufahamu, huo mkataba ambao unasema Simba wamepigwa, na Yanga walikuwa nao huo huo hadi juzi walipoingia huu wa miaka 10, ila kwa Simba unaendelea kwa kuwa wa miaka 10 wameugomea