Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

Una
Una uhakika na unachokiongea au unarukia mambo tu unayochukua mitandaoni uko unameza mazima maxima bila kufanya utafiti wa kutosha!!!
 
Safari zote ndani na nnje ya Nchi,unabisha nini sasa,nenda kwa Shaffih Dauda kasikilize clip kaweka
Sasa unaleta habari za kanjanja dauda ndo tuamini, acha masikhara mzee watu wanatafuta followers uko kwa hali na mali ebooo
 
Safari ya Nigeria ndio inafufua shirika?
Safari ya Nigeria, Safari za ndani na nje za Simba na mengineyo ndio yanayolifanya shirika lionekane liko hai maana wanafanya kazi yao ya kusafirisha watu kwa ndege kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Sasa labda na wewe ututhibitishie hapa kwamba ATCL kuisafirisha YANGA kwenda Nigeria, kuisafirisha Simba ndani na nje ya nchi ndio UTHIBITISHO WA KUFA KWA SHIRIKA HILO LA NDEGE.

Karibu
 
Sasa unaleta habari za kanjanja dauda ndo tuamini, acha masikhara mzee watu wanatafuta followers uko kwa hali na mali ebooo

Wewe nae,nakwambia kasikilize clip ameweka ya tukio la ATCL na Management ya Simba walipokuwa wanaelezea aina ya Mkataba.Sasa Shaffih ana tatizo gani hapo.

Hebu kwanza jifunze matumizi ya ‘h’ siyo “uko” inaandikwa “huko”
 
Mo Sport na Mo 29,
Mikataba yake ilisainiwa wapi?
 
Hii ni mhimu sana.Simba tunahitaji kuzifungulia dunia company kibao
Ili kurahisisha utendaji wa club
 
Simba umbumbumbu hautaisha, kwenye Azam mlipigwa parefu naona mmeibukia kwenye vipesa vya karanga. ATCL is dying horse, hawa biashara ilishawashinda.
Kesho watakaposaini na YANGA sijui utongea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…