Mtanzania,
Soma tena ile ripoti aliyoileta Mafuchila. Maregesi hajasema kuwa amekula sumu. Aliyesema hayo ni daktari. Au daktari huyo naye yumo kwenye conspiracy za akina Balali na Maregesi?
mpaka leo najiuliza wee nakosa jibuWatanzania endeleeni tu kudanganywa, hii ni sinema part II baada ya ile ya Ballali.
Toka lini uliona hata mtu aliyekufa bado inaogopwa hata kutajwa hospitali alikofia?
Mwkjj,so malegesi amefikia wapi, keshatoka hospitali au kesharushwa kwenda kwenye matibabu huko "boston"?
so malegesi amefikia wapi, keshatoka hospitali au kesharushwa kwenda kwenye matibabu huko "boston"?
Mtanzania,
Soma tena ile ripoti aliyoileta Mafuchila. Maregesi hajasema kuwa amekula sumu. Aliyesema hayo ni daktari. Au daktari huyo naye yumo kwenye conspiracy za akina Balali na Maregesi?
Malegesi adaiwa kula kitu chenye sumu
2009-02-08 11:03:00
Na Mwandishi Wetu
Mmoja wa watu muhimu anayeaminika kubeba siri nzito juu ya mmiliki halisi wa kampuni tata ya Kagoda, inayodaiwa kuchota Sh bilioni 40 kwenye akunti ya EPA, amelazwa katika Hospitali ya Mikocheni, jijini Dar es Salaam, tangu Januari 26 mwaka huu, baada ya kula kitu kinachodaiwa kutiwa sumu.
Huyu si mwingine bali ni Mwanasheria wa Jijini Dar es Salaam, Bered Malegesi (31), ambaye kampuni yake ilitoa mchango mkubwa katika kuzisajili baadhi ya kampuni zilizochota mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA)..............
* SOURCE: Nipashe
Mwkjj,
Nimeongea na rafiki mmoja wa Malegesi anafikiri he's going to be okay.
Anasema kule kutapika kulimsaidia sana.
Jamani nisaidieni huyu Bered Malegesi ni yule niliyemaliza nae Iliboru High School Arusha mwaka 1988, kisha tukawa wote chuo kikuu yeye akisoma sheria????????
Kama ni yeye mbona umri wake siyo sahihi, kama sisi yeye basi kijana wa miaka 31 amefanya ufisadi namna hii inatisha
ndiye huyo huyo.. ila wakati mkiwa Ilboru labda hakuwa na dalili za ufisadi.. what about Chuo Kikuu?
Anyway ni upuuzi kwako lakini kwake ni matter of life. Kwani ni yeye kavujishia hizo habari? Mwulize mwandishi wa makala aliyoileta Mafuchila kazipata wapi hizo habari. And for your info marehemu Balali hakuwa na wapambe hapa. Niliwahi kusema I am not speaking for his behalf lakini kama mshiriki wa JF singeweza kuvumilia uzushi ulioandikwa humu bila kutoa comment. I stand by my statements on Balali 100% and only time will tell nani alisema ukweli. Mungu yupo.Mkuu Jasusi,
Toka lini daktari akaruhusiwa kutoa taarifa za mgonjwa bila ya idhini ya mgonjwa mwenyewe?
Sinema ni lile lile kuvujisha kidogo kidogo habari za uongo ili kuwadanganya Watanzania.
Muda wote hata wakati wa Ballali, yeye hazungumzi kitu, wapambe ndio wanatumwa kuja kutudanganya. Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu hung'amua.
Tumesikia mengi, mara dada za marehemu kusema yote, mara Ballali kaache video, mara sumu Dodoma, mara kafa huko Boston, mara alianza kupona mpaka alipotembelewa na RO, mara alitibiwa SA, mara upupu mtupu.
Jamani si tuacheni Watanzania? Waibe pesa za maskini halafu waendelee kuwadanganya hao maskini?
Malegesi kama kanywa sumu ambayo hajui imetoka wapi, aende kituo cha polisi kutoa habari ili wachunguze.
Baadaye tutasikia na yeye kafa na hakuna kuona maiti. Upuzi mtupu!
Mkuu alikuwa ni mtu aliyekuwa anatamani kuwa na maisha ya hali ya juu lakini sikutegemea kama atakuwa katika hali hii. mara ya mwisho nilimwona bongo akiendesha range rover VOGUE mpya, sikumfikiria katika mambo ya EPA. I AM SHOCKED IF IT TRUE ON HIS INVOLVEMENT AND RELATIONSHIP WITH BALLALI
As of yesterday alikuwa bado hospitali DSM ( Lakini sikuuliza hospitali gani.)bado yupo hospitali au amesharuhusiwa?
LOL. Malegesi hakupata hela nyingi EPA. Kwake hela zilipita tu alipata kidogo ndo maana aliandika barua kama watampeleka mahakamani basi ataanika uozo wote. Ndo maana hujasikia amefikishwa mahakamani.
Kesi ya EPA ni ngumu, ni zile kampuni ambazo hazikuhusisha WAZEE ndio zipo mahakamani. Kwingine hela zilipopita bila wenyewe kufaidi vizuri wapo salama. Malegsi akiwa mmoja wao.
Jamaa anaendelea vizuri
basi waliopelekwa mahakamani nao wajinga... kwa nini satishie... ili mchzo unoge??LOL. Malegesi hakupata hela nyingi EPA. Kwake hela zilipita tu alipata kidogo ndo maana aliandika barua kama watampeleka mahakamani basi ataanika uozo wote. Ndo maana hujasikia amefikishwa mahakamani.
Kesi ya EPA ni ngumu, ni zile kampuni ambazo hazikuhusisha WAZEE ndio zipo mahakamani. Kwingine hela zilipopita bila wenyewe kufaidi vizuri wapo salama. Malegsi akiwa mmoja wao.
Jamaa anaendelea vizuri
- Halafu Mkulu Jasusi, hivi unajua kua last two weeks mafisadi wote wakubwa walikuwa wamekusanyika DC? Kuanzia Lowassa mpaka RA je ulizipata hizo mkuu wangu?
- Sasa walikuwa wanatafuta nini? Na why DC?