Anyway ni upuuzi kwako lakini kwake ni matter of life. Kwani ni yeye kavujishia hizo habari? Mwulize mwandishi wa makala aliyoileta Mafuchila kazipata wapi hizo habari. And for your info marehemu Balali hakuwa na wapambe hapa. Niliwahi kusema I am not speaking for his behalf lakini kama mshiriki wa JF singeweza kuvumilia uzushi ulioandikwa humu bila kutoa comment. I stand by my statements on Balali 100% and only time will tell nani alisema ukweli. Mungu yupo.
Jasusi,
Watu wanakufa kila siku tena kwa kukosa dawa za malaria, kwanini nijali maisha ya fisadi mmoja?
Ya Ballali sina cha kuongezea, maana kila kilichoongelewa na watu wa upande wake kimeonekana total rubish!
Time ndiyo hiyo hiyo ulitumika muda wote na watanzania tukaamini itafika siku atasema ukweli, kumbe alikuwa anapanga mambo yake vizuri ili kujiunga na fugitives wengine wa dunia.
Binafsi sina huruma tena na wasomi wanaogeuka mafisadi maana kuchagua ufisadi kwao haikuwa a matter of life and death.