Another 'victim'? Malegesi Adaiwa Kunyeshwa Sumu

Another 'victim'? Malegesi Adaiwa Kunyeshwa Sumu

Anyway ni upuuzi kwako lakini kwake ni matter of life. Kwani ni yeye kavujishia hizo habari? Mwulize mwandishi wa makala aliyoileta Mafuchila kazipata wapi hizo habari. And for your info marehemu Balali hakuwa na wapambe hapa. Niliwahi kusema I am not speaking for his behalf lakini kama mshiriki wa JF singeweza kuvumilia uzushi ulioandikwa humu bila kutoa comment. I stand by my statements on Balali 100% and only time will tell nani alisema ukweli. Mungu yupo.

Jasusi,

Watu wanakufa kila siku tena kwa kukosa dawa za malaria, kwanini nijali maisha ya fisadi mmoja?

Ya Ballali sina cha kuongezea, maana kila kilichoongelewa na watu wa upande wake kimeonekana total rubish!

Time ndiyo hiyo hiyo ulitumika muda wote na watanzania tukaamini itafika siku atasema ukweli, kumbe alikuwa anapanga mambo yake vizuri ili kujiunga na fugitives wengine wa dunia.

Binafsi sina huruma tena na wasomi wanaogeuka mafisadi maana kuchagua ufisadi kwao haikuwa a matter of life and death.
 
Watatuua sana ila wajue kwamba uzee wenye memory chafu na vifo vya maumivu vinawangoja...
 
Hii ni prison Break na mambo ya kampuni hayo ukikolofishana na kampuni wanakutafuta kwa hali na mali wahakikishe umekufa kabla ya kutoa siri.

Watu mnasema haendi nje ya nchi lakini kifo nacho chaja haya kama ni mjanja kiasi gani
 
fmes,
nimepata habari juzi tu kuwa lowassa was in town. Wanasema eti alikuja kufanya shopping lakini naendelea kuchunguza zaidi.

tupe data kamili kama tayari umezipata kuhusu hawa mafisadi walikuwa nanajambo gani hapo dc
 
tupe data kamili kama tayari umezipata kuhusu hawa mafisadi walikuwa nanajambo gani hapo dc

Walikuwa na Lowasa na Mr. Gire/Richmond ($30 million Letter of credit), pia Lowasa alikuwa anaangalia pesa alizopoteza kwenye stock market na pesa alizoingiziwa na Mampuni ya Madini, kama unakumbuka alipokwenda Canada akiwa waziri mkuu aliwapiga mkwala sana hizo kampuni zilizopo hapa Geita.
 
Watanzania wenzangu mafisadi wataendelea kupeta Tanzania until we start seeing beyond crime dramas and movies. THOSE THINGS HAPPEN IN REAL LIFE …

Lets be honest here. Malegesi kama anajua mtu aliyempa sumu do u really think atawaambia police or any Tanzanian National Security body. Hii corruption ya Tanzania unafikiri mafisadi hawana watu wao huko.

Mafisadi wataendelea kuwauwa kwa njia mbalimbali watu ambao wanaonekana kujua siri zao au anaye tishia kufichua siri zao knowing kabisa Tanzania public ni wajinga kubelieve kwamba ni michezo ya kuigiza. Just like walivyomtoa Balali roho harafu wananchi wanajua ni mchezo wa Balali. Watu wangapi wataendelea kufa na kupewa sumu ndipo tutaamini?

Watanzania Open your eyes.. Instead ya kupiga kelele ni michezo ya kuigiza tuanze kuwakandamiza serikali watueleze kwanini Balali and Malegesi ( na wale ambao hawako kwenye public eyes) walipewa sumu etc. Tutumie wabunge tunaowaamini kama Dr Slaa and Kobwe waturepresent kwenye bunge.

This is democratic country and we should practise that democracy… even we should start having an anonymous voting system that Tanzanian citizen can use to vote which topic the parliament should discuss and it should be controlled by opposition parties. Not Sitta ndio achague ipi ya kudiscuss bungeni and ipi sio ya kudiscuss.. THIS IS WHAT DEMOCRACY IS NOT WHAT IS PRACTICE AT THE MOMENT

yaani tuwatetee wakati wenyewe wanabana hawataki kusema wajuacho?
mbona aina hiyo ya demokrasia mimi siielewi?
 
Walikuwa na Lowasa na Mr. Gire/Richmond ($30 million Letter of credit), pia Lowasa alikuwa anaangalia pesa alizopoteza kwenye stock market na pesa alizoingiziwa na Mampuni ya Madini, kama unakumbuka alipokwenda Canada akiwa waziri mkuu aliwapiga mkwala sana hizo kampuni zilizopo hapa Geita.

Kumbe hizi kampuni za madini zinatuibia kwa sababu wanakula na mafisadi.
Huyu Lowassa anaingizwaje fedha kwenye akaunti yake amefanya kazi gani
ya kustahili malipo hayo kama siyo kuuza nchi?
 
Back
Top Bottom