Another water salute for Kenya Airways' first ever flight to Libreville

hehehehe kwani libreville wanatumia carwash machine??
Pwahahahaha...Infact, I am even surprised they came to film this plane...Its not even an airbus A380 or a Boeing 787 dreamliner...if it was wangepipwa na butwaa bas
 
Wazipokee kote kote, ila fahari yetu ni kwamba hatuogopi kunyakuliwa kwa ndege kisa madeni, unajua kuna watu bado wanapiga ruti za daladala wanasuasua kuchomoza pua, ndio mara ya kwanza niliskia ndege inakamatwa hadi deni lilipwe.....mzungu ni balaa.
 
ruti za daladala😀😀
 
ruti za daladala😀😀

Thubutu kuchomoza pua kwenye anga za hawa watu, hehehe bora uwe na deni la Mchina lakini sio mzungu, hana huruma anabuni mindege, anakuuzia halafu anazikamata ukimzingua.
 
Wazipokee kote kote, ila fahari yetu ni kwamba hatuogopi kunyakuliwa kwa ndege kisa madeni, unajua kuna watu bado wanapiga ruti za daladala wanasuasua kuchomoza pua, ndio mara ya kwanza niliskia ndege inakamatwa hadi deni lilipwe.....mzungu ni balaa.
Look at this nigga right here.
 
Our neighbors talk about the losses KQ is making while KQ is busy trying to find ways of increasing revenue

That subtle difference in thinking right there is the reason why Kenya is the economic and financial powerhouse in this region even though Tanzania has all the minerals on Earth
 
Back
Top Bottom