Another year and another blessing happy birthday to me

Another year and another blessing happy birthday to me

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habarini Wadau wangu wa nguvu

Ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele ingawaje nina kahoma na kifua kuuma [sijui ndo korona hii shindwa} nafurahia kufikia siku hii muhimu ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

Marafiki, jamaa na wadau wote ungama nami katika kumbukizi hii maalum kwangu, nipeni vikeki basi mm mtoto mchanga hahaaaa mana sijapata hata pampers hahaaaaaaaaa

Ninauza vitenge vya batik, mabegi ya culture, bangili za culture, natengeneza keki, karibuni sana

Wasalaam;
Ladyfurahia mama mjasiriamali😂🤣😅

download.jpeg
africa bag culture.jpeg
africa bag culture2.jpg
mkeka bag  copy.jpg
 
Back
Top Bottom