Another year and another blessing happy birthday to me

Another year and another blessing happy birthday to me

Week picha za bidhaa na bei zake unakwama wapi mwenza. Happy birthday to you
NIMESHAKUWEKEA PALE KWENYE BANDIKO LANGU ANGALIA NINAYO YA KILA AINA JINSI MTEJA UNAVYOTAKA UKITAKA LA PICHA YA MWANAMKE, AU BAHARI, AU CHOCHOTE UNATENGENEZEWA TU USIJALI KARIBU SANA
 
Nimefikiria zawadi ya kukupa nimeona vyote havilingani na thamani yako
nimeamua nikupe zawadi ya mtoto kama upo tayari
 
Habarini Wadau wangu wa nguvu

Ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele ingawaje nina kahoma na kifua kuuma [sijui ndo korona hii shindwa} nafurahia kufikia siku hii muhimu ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

Marafiki, jamaa na wadau wote ungama nami katika kumbukizi hii maalum kwangu, nipeni vikeki basi mm mtoto mchanga hahaaaa mana sijapata hata pampers hahaaaaaaaaa

Ninauza vitenge vya batik, mabegi ya culture, bangili za culture, natengeneza keki, karibuni sana

Wasalaam;
Ladyfurahia mama mjasiriamali😂🤣😅

View attachment 2624926View attachment 2625024View attachment 2625025View attachment 2625026
Utoto huu
 
Back
Top Bottom