Ilikuwa last year nilimfuata PM MshanaJr tukawa tunawasiliana, nilikuws na wakati mgumu Sana kipindi hicho huyu bro akanishauri vingi Sana, kitu nakumbuka zaidi Ni pale mzee MshanaJr aliponitumia nauli ili tukaonane na kufahamiana, bro much respect kwako tuliongea mengi yenye kujenga na Yana faida kubwa Sana.
MshanaJr itabidi twende tukampe hi Yule mzee muuza supu, kwenye vitu nilivyojifunza siku ile Ni kunywa VALUER 😂😂😂😂 kile kivaluer na zile Safari bro mpaka nafika stand picha lipikuwa kali.
Pamoja sana MONK MSHANAJr