Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Fanya hima. Ili uingie kwenye familia yangu sharti ni kukaguliwa na mimi mkaguzi mkuu wa familia. Ila chondechonde familia hii ina allergy na kale kalugha kako kanakotufanya tung'ate ulimi tukisoma posts zako...Hata mimi anaweza kuwa babu yangu? Na mimi nataka.
Ni mimi babu ODM nikiwa hapa makao makuu ya ukoo