Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji109][emoji109][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]mkuu hapana japo wanaume wengi hawaaminiki huyu ninaweza nikamuacha hata na mamaako mdogo na nikamkuta mbona Joanah kamuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Don Clericuzio naona umenigongea like. Umeona Paula Paul leo kaposti kwa lugha ya taifa?Kaniokoa leo nimefanya mfungo wa Kwaresma... K Vant itanisameheKumbe unajuaga kiswahili. Leo umenipunguzia tatizo la kusoma post yako bila kutumia dikshenare. chaliifrancisco akipita hapa atapata baraka sana
Don Clericuzio naona umenigongea like. Umeona Paula Paul leo kaposti kwa lugha ya taifa?Kaniokoa leo nimefanya mfungo wa Kwaresma... K Vant itanisamehe
Embu jarbu ww kumwambia ukwel, kashakua babu atuache wajukuu tuserereke...
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂
Tatizo haelewagi huyu mzee
Ujue niko kwenye hii thread pia!
LOL!hebu niwe more careful na nachoandika
Afadhali ule uzi wa jana hukuufikia
Ha ha ha ha kumbe yule si nilishakwambia kifurush changu cha week tu tayar kimeisha....
Kuna mmoja jana nmepita sehem nmekutana nayo nkasema huyu mjukuu wa Asprin naona kaanza mwaka vizur...
Sent using Jamii Forums mobile app
...teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku nyingine ukinitukana nitag manake sikumbuki
Yaani unapokea tu hata ulicho kisahau...teh[emoji23][emoji23][emoji44][emoji44][emoji44][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana sana... Napokea kwa unyenyekevu mkuu na moyo wa shukrani
Jr[emoji769]
Ha ha ha ha ha haya maneno asiyasikie Don hapo chini kumbe ukijitahid sana ni mwezi mmoja...Kumbe wewe kama mimi,lakini mie kinakuwaga cha mwezi
Nani huyo mbona sijaona hiyo?
Babu atajua hajui shaur yakeTatizo haelewagi huyu mzee
😂😂
Ligongeshe hata kwenye jiwe, ili mleta mada apate laana kubwa zaidi...teh[emoji23]Kama ulimtukana my dia mjukuu Joanah ujue ulinitukana na mimi... nadhani ushajua cha kufanya kabla sijagongesha kojoleo langu kwenye kichuguu
Ha ha ha ha ha haya maneno asiyasikie Don hapo chini kumbe ukijitahid sana ni mwezi mmoja...
Ngoja nitautafuta huo uzi then ntakupa tag moja ya kibingwa...
Sent using Jamii Forums mobile app