kuna gazeti moja la leo wameandika hawakutokea kwenye kikao yawezekana kuna ukweliKama hii habari ni "questionable" kwa nini moderators wanaiacha hapa jukwaani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna gazeti moja la leo wameandika hawakutokea kwenye kikao yawezekana kuna ukweliKama hii habari ni "questionable" kwa nini moderators wanaiacha hapa jukwaani?
nitajie kiongozi mmoja wa ccm aliye safi.On a serious note, kama hawa wazee wako safi, na kazi yao imetukuka, matatizo ya nchi yetu yamesababishwa na nani?
Sio hao wawili tu, ila kuna hawa wanaojiita vigogo, wamechangia sana kuharibu nchi yetu kwa ubinafsi wao. Acha wasambaratishane. It might bring discipline and respect, when people holding public positions