Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

Wewe fala unawachukia wahaya kwa sababu unapenda kujilinganisha nao . Wewe umeambiwa alieleta habari ni muhaya , waziri wa fedha ni muhaya , mkuun wa mkoa ni muhaya ? Changia mada acha ukabila na gubu . Wahaya walishasemwa mpaka watu wakachoka na hawajawahi kupendelewa na mtu yeyote ,huwa wanapambana wenyewe na bado wapo sana . Juhudi za kuwadidimiza wahaya hazijaanza leo lakini maisha yanaendelea
Mimi watu wa Bukoba huwa siwaamini, story zao nyingi ni za kujikweza
Meya anahusikaje na kukataa fedha za serikali (tena Waziri Mpango wa Wizara ya Fedha)
mm nashauri pesa ipelekwe km ni ukabila wajuane hukohuko, Bashiru na Karumuna hawatadumu milele lkn stand itajengwa, Hiyo Siasa mwaka 2020 itafika mabadiliko au mwisho hapo Bukoba
Wahaya shirikianeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mtu mwenye akili kama za kwako tu ndiyo anaweza kusema ni uzushi. Diwani kinua mgongo chake ni ml 25 leo bado kama miezi 2 apewe pesa kama sio kwamba wananunuliwa ni mjinga gani anaweza kuunga mkono juhudi za kichaa aache ml 25 kwa miezi miwili?
Wanaowahudumia Waume kwa waume wapo hapo LUMUMBA ndo mana kila wakati mnataja ushoga.
Unakumbuka kisa cha SHAKA S.SHAKA NA SALUMU MPELEMBWE WALIOONA HUKO TANGA? SHAKA ALIKUWA KIONGOZI WA UVCCM AU TUMWAGE PICHA HAPA?
Badala ya kuhudumia mmeo anayekufadhili huko Ulaya ,umekalia kutunga na kuvurumsha uzushi kwenye mitandao ya kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mtu mwenye akili kama za kwako tu ndiyo anaweza kusema ni uzushi. Diwani kinua mgongo chake ni ml 25 leo bado kama miezi 2 apewe pesa kama sio kwamba wananunuliwa ni mjinga gani anaweza kuunga mkono juhudi za kichaa aache ml 25 kwa miezi miwili?
Wanaowahudumia Waume kwa waume wapo hapo LUMUMBA ndo mana kila wakati mnataja ushoga.
Unakumbuka kisa cha SHAKA S.SHAKA NA SALUMU MPELEMBWE WALIOONA HUKO TANGA? SHAKA ALIKUWA KIONGOZI WA UVCCM AU TUMWAGE PICHA HAPA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo chama limekuwa chaka la mashoga kiranja wao Elitwegwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waziri wa fedha na mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:
Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.

Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.

Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.

Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.

Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”

RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.

Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.

Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.

Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.

Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.
Pamoja na kuogesha wazee ughaibuni,ila bado unyumbu haujakutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe fala unawachukia wahaya kwa sababu unapenda kujilinganisha nao . Wewe umeambiwa alieleta habari ni muhaya , waziri wa fedha ni muhaya , mkuun wa mkoa ni muhaya ? Changia mada acha ukabila na gubu . Wahaya walishasemwa mpaka watu wakachoka na hawajawahi kupendelewa na mtu yeyote ,huwa wanapambana wenyewe na bado wapo sana . Juhudi za kuwadidimiza wahaya hazijaanza leo lakini maisha yanaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
aliyeleta taarifa ndio Muhaya nshomile kabisa,
Katibu Mkuu wa Chama ndio akapige magoti
ukisikia mtu anaitwa mujunwa akili zake ni za kujisifu na kujiona bora stand tu mpaka mututangazie, mbona tetemeko na magonjwa kibao hamkujisifu, mnajisifia upuuzi wa udiwani eti kaombwa akashindane na Kagasheki, mara Rwakatare, acheni majigambo jengeni stand
 
Hii ni aibu kubwa kweli kweli.Nadhani offer za namna zinahitaji watu waliokosa fikra
 
Inawezekana kushawishiwa lakini sio kwa namna ulivyoelezea... Umefanya kitu ambacho huenda kikawa cha kweli kimeonekana ni uzushi na upumbavu.
 
Duh....!

Huu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?

Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"

Hizo ndio siasa za jiwe, hakuna cha msomi wala nini, anachokitaka lazima ufuate. Huyo Mpango lazima alinde tumbo lake kwanza, kisha elimu yake ndio ifuate.
 
Huyo ngurumo stress za kufua nepi za vizee zitamuwehusha

Yaani katibu Mkuu aanze kuhangaika na meya ambaye October 2020 anaenda kubwagwa

Ngurumo kaongea ukweli wa asilimia 100, hizo siasa za karne iliyopita ndio za jiwe. Atamnunua kila kiongozi wa cdm, lakini hawezi kubadilisha mitazamo ya kizazi cha sasa. Ataishia kutumia pesa za umma kwa viongozi, lakini hata akiwatununua hao viongozi, bado hawezi kupata wapiga kura wengi zaidi ya kunajisi box la kura.
 
Inawezekana kushawishiwa lakini sio kwa namna ulivyoelezea... Umefanya kitu ambacho huenda kikawa cha kweli kimeonekana ni uzushi na upumbavu.

Hizo ndio mbinu zinazotumika na wala wanaohama hawafichi hizo mbinu. Hakuna kitu kigumu kama kulazimisha kupendwa, ni sawa na umpende mwanamke asiyekupenda, atakula pesa yako na ataigiza kukupenda, lakini kiukweli atakuwa hakupendi.
 
CCM wana siasa za kipumbavu sanaView attachment 1406917

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikwete anaona hata aibu kuonekana hadharani kwa aibu aliyoitengeneza 2015 , nilikutana naye kisutu kwenye mazish ya Alhaji Shamte hadi nilimhurumia

2332550_matokeo_uchaguzi_3.jpg
 
Hizo ndio mbinu zinazotumika na wala wanaohama hawafichi hizo mbinu. Hakuna kitu kigumu kama kulazimisha kupendwa, ni sawa na umpende mwanamke asiyekupenda, atakula pesa yako na ataigiza kukupenda, lakini kiukweli atakuwa hakupendi.
Inawezekana lakini chumvi imezidi mno katika kulielezea hili hadi inafanya ionekane ni uzushi...
 
Wakati wewe unatumikishwa kwa aibu ya kujidhalilisha kwa gharama ya aibu ya elfu 7 , Bashiru Ally anampigia magoti Kalumuna
Hakuna kiongozi wa Chadema wa kupigiwa magoti na PhD .....Mpango
Lowassa hakupigiwa magoti itakuwa huyo diwani!
 
Hakuna kiongozi wa Chadema wa kupigiwa magoti na PhD .....Mpango
Lowassa hakupigiwa magoti itakuwa huyo diwani!
Hujui kitu wewe masikini , kapuku usiye mfano , tumemrekodi jiwe akimbembeleza Mnyika kuhamia ccm na muda si mrefu tunaiachia hewani , liwalo na liwe ! utaficha wapi sura yako ?
 
Back
Top Bottom