Ansbert Ngurumo: Ni wakati wa Chadema kukinukisha Sasa? Tujitafakari upya

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
2,341
Reaction score
3,367
Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae.

I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini itisheni maandamano, watu tuko tayari kukinukisha. I say enough is enough, do not wait any longer.

Aidha, nikirejea andiko la Mwandishi wa habari mwandamizi Ansbert Ngurumo ametukemea vikali wafuasi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akitutaja kuwa tunakwepa uwajibikaji kwa madai kwamba “kama Lissu asingekuwa rumande, nchi ingekuwa imewaka” kutokana na msimamo wa chama wa No Reforms, No Election.

Kupitia andiko alilolichapisha Agosti 25, 2025, Ngurumo ameeleza kuwa kauli hiyo ni kisingizio cha kushindwa kuchukua hatua za kishujaa za kisiasa.

“Kisiasa, Lissu kuwa ndani ndiyo sababu halisi ya Watanzania kukiwasha, CHADEMA kufungiwa ndiyo sababu halisi ya watu kuamka na kukiwasha. Serikali imewapa sababu ya kukinukisha, Hivi wafuasi wa Lissu na Watanzania wanasubiri Lissu arudi uraiani ndipo wakinukishe? Are we serious?”, ameandika Ngurumo.

Ngurumo ameongeza kuwa hata kukamatwa kwa Lissu mbele ya wafuasi 2,000 ni ishara kwamba umma haukuwa tayari kulinda kile wanachokiamini.

“Lissu si mchawi. Hana maajabu yoyote atakayofanya bila nguvu ya umma. Hata kukamatwa kwake mbele ya wafuasi wapatao 2000 hivi, ni kudhalilisha umma uliokusanyika kumsikiliza na kumshangilia. Alitarajia nguvu ya umma izuie kukamatwa kwake; Ikamtelekeza. Alitarajia nguvu ya umma ikiwashe, ikinukishe aondolewe gerezani, lakini nguvu ya umma imebaki kusikika vijiweni na mitandaoni tu”, amesema.

Ameeleza kuwa kukamatwa kwa Lissu kulipaswa kuwa kichocheo cha harakati za kuzuia uchaguzi, lakini Watanzania wanabaki wakiombea na kuchangia harakati badala ya kusimama kidete.

“Watanzania ni watu wa ibada na michango, wanamwombea, wataombea taifa, watachangia harakati; siasa za mikikimikiki si zao. Vinginevyo, kwa serikali kumkamata Lissu, ilikuwa imewatengenezea fursa ya kufanya kile anachotamani- kukinukisha na kuzuia uchaguzi. Ajabu, siku tatu zijazo, kampeni zinazinduliwa! Sasa tuulizane. Kama Lissu amekamatwa, wafuasi wapo mitandaoni wana-twiti, wanasubiri nani akamatwe ndipo wakiwashe na kukinukisha? Tujitafakari upya”, ameeleza Ngurumo.
 
Hiyo jeuri waipate wapi?
 
Watanganyika wapo kama manyumbu.

Hata ukivamiwa na majambazi kila mtu anabaki kuangalia na kushangaa mpaka unakufa.

Sijui ni uzezeta au labda tumelogwa?

Ni kama ugonjwa fulani hivi wa KUSINZIA na KUTOKUELEWA CHA KUFANYA kama yale MAKUKU YENYE MDONDO.

Nina wasiwasi sana na yale MACHANJO YA KORONA, Watu wote wamekuwa mazombi hawawezi kuchukua hatua katika jambo lolote.
 
Wale jamaa waliofeli form four wakiona bandiko kama hili watakuwa wanamuomba mungu wao shetani ili hayo maandamano yatokee, na hivyo kupata kisingizio cha kuua watu, kuwasababishia ulemavu kwa vipigo, kupora simu, fedha, nk.
 
Mwambie Bwana Nguru kuwa tuna hitaji sana nguvu zake hapa Tz. Aaeche kujificha Helsinki, Turk. Pori Kuopio au Lappeenranta. Aje hapa viwanja vya mnazi aonyeshe mfano
 
Tukifungwa mtazilisha familia zetu? mtapeleka watoto wetu ubelgiji na canada?
 
Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae.

I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini itisheni maandamano, watu tuko tayari kukinukisha. I say enough is enough, do not wait any longer.

Aidha, nikirejea andiko la Mwandishi wa habari mwandamizi Ansbert Ngurumo ametukemea vikali wafuasi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akitutaja kuwa tunakwepa uwajibikaji kwa madai kwamba “kama Lissu asingekuwa rumande, nchi ingekuwa imewaka” kutokana na msimamo wa chama wa No Reforms, No Election.

Kupitia andiko alilolichapisha Agosti 25, 2025, Ngurumo ameeleza kuwa kauli hiyo ni kisingizio cha kushindwa kuchukua hatua za kishujaa za kisiasa.

“Kisiasa, Lissu kuwa ndani ndiyo sababu halisi ya Watanzania kukiwasha, CHADEMA kufungiwa ndiyo sababu halisi ya watu kuamka na kukiwasha. Serikali imewapa sababu ya kukinukisha, Hivi wafuasi wa Lissu na Watanzania wanasubiri Lissu arudi uraiani ndipo wakinukishe? Are we serious?”, ameandika Ngurumo.

Ngurumo ameongeza kuwa hata kukamatwa kwa Lissu mbele ya wafuasi 2,000 ni ishara kwamba umma haukuwa tayari kulinda kile wanachokiamini.

“Lissu si mchawi. Hana maajabu yoyote atakayofanya bila nguvu ya umma. Hata kukamatwa kwake mbele ya wafuasi wapatao 2000 hivi, ni kudhalilisha umma uliokusanyika kumsikiliza na kumshangilia. Alitarajia nguvu ya umma izuie kukamatwa kwake; Ikamtelekeza. Alitarajia nguvu ya umma ikiwashe, ikinukishe aondolewe gerezani, lakini nguvu ya umma imebaki kusikika vijiweni na mitandaoni tu”, amesema.

Ameeleza kuwa kukamatwa kwa Lissu kulipaswa kuwa kichocheo cha harakati za kuzuia uchaguzi, lakini Watanzania wanabaki wakiombea na kuchangia harakati badala ya kusimama kidete.

“Watanzania ni watu wa ibada na michango, wanamwombea, wataombea taifa, watachangia harakati; siasa za mikikimikiki si zao. Vinginevyo, kwa serikali kumkamata Lissu, ilikuwa imewatengenezea fursa ya kufanya kile anachotamani- kukinukisha na kuzuia uchaguzi. Ajabu, siku tatu zijazo, kampeni zinazinduliwa! Sasa tuulizane. Kama Lissu amekamatwa, wafuasi wapo mitandaoni wana-twiti, wanasubiri nani akamatwe ndipo wakiwashe na kukinukisha? Tujitafakari upya”, ameeleza Ngurumo.

..Ngurumo anazungumza kwa nia ya kuwakatisha tamaa Chadema, wala hataki wafanikiwe.

..yeye yuko katika ligi na viongozi wa Chadema kuhusu hoja ya kutokushiriki uchaguzi ikiwa hakutakuwa na mabadiliko.

..kuhamasisha Chadema wachukue hatua na wakinukishe kuna namna ya kufanya na lugha ya kutumia na sio kuwazodoa kama anavyofanya Ngurumo.
 
Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae.

I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini itisheni maandamano, watu tuko tayari kukinukisha. I say enough is enough, do not wait any longer.

Aidha, nikirejea andiko la Mwandishi wa habari mwandamizi Ansbert Ngurumo ametukemea vikali wafuasi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akitutaja kuwa tunakwepa uwajibikaji kwa madai kwamba “kama Lissu asingekuwa rumande, nchi ingekuwa imewaka” kutokana na msimamo wa chama wa No Reforms, No Election.

Kupitia andiko alilolichapisha Agosti 25, 2025, Ngurumo ameeleza kuwa kauli hiyo ni kisingizio cha kushindwa kuchukua hatua za kishujaa za kisiasa.

“Kisiasa, Lissu kuwa ndani ndiyo sababu halisi ya Watanzania kukiwasha, CHADEMA kufungiwa ndiyo sababu halisi ya watu kuamka na kukiwasha. Serikali imewapa sababu ya kukinukisha, Hivi wafuasi wa Lissu na Watanzania wanasubiri Lissu arudi uraiani ndipo wakinukishe? Are we serious?”, ameandika Ngurumo.

Ngurumo ameongeza kuwa hata kukamatwa kwa Lissu mbele ya wafuasi 2,000 ni ishara kwamba umma haukuwa tayari kulinda kile wanachokiamini.

“Lissu si mchawi. Hana maajabu yoyote atakayofanya bila nguvu ya umma. Hata kukamatwa kwake mbele ya wafuasi wapatao 2000 hivi, ni kudhalilisha umma uliokusanyika kumsikiliza na kumshangilia. Alitarajia nguvu ya umma izuie kukamatwa kwake; Ikamtelekeza. Alitarajia nguvu ya umma ikiwashe, ikinukishe aondolewe gerezani, lakini nguvu ya umma imebaki kusikika vijiweni na mitandaoni tu”, amesema.

Ameeleza kuwa kukamatwa kwa Lissu kulipaswa kuwa kichocheo cha harakati za kuzuia uchaguzi, lakini Watanzania wanabaki wakiombea na kuchangia harakati badala ya kusimama kidete.

“Watanzania ni watu wa ibada na michango, wanamwombea, wataombea taifa, watachangia harakati; siasa za mikikimikiki si zao. Vinginevyo, kwa serikali kumkamata Lissu, ilikuwa imewatengenezea fursa ya kufanya kile anachotamani- kukinukisha na kuzuia uchaguzi. Ajabu, siku tatu zijazo, kampeni zinazinduliwa! Sasa tuulizane. Kama Lissu amekamatwa, wafuasi wapo mitandaoni wana-twiti, wanasubiri nani akamatwe ndipo wakiwashe na kukinukisha? Tujitafakari upya”, ameeleza Ngurumo.
Mbona mh.Lissu anatuhumiwa kakinukisha/kukinukisha lakini hakinuki?
 
Chadema kelele nyingi sana mdomoni vitendo zero
 
Lissu arambe asali kama Mbowe.

Wakubwa wamezichanga karata zao vyema. Piga mchungaji kondoo wamesawajika.

Wadanganyika unga wa ndere umetukolea. Hatujali hatujai.

Twabakia kupiga nduru, umbea, ulozi na ramli za vifo kwa watawala. Maajabu ya Mola yanasubiriwa kama kuanguka mana jangwani

Hakuna maajabu.
 
Watanganyika wapo kama manyumbu.

Hata ukivamiwa na majambazi kila mtu anabaki kuangalia na kushangaa mpaka unakufa.

Sijui ni uzezeta au labda tumelogwa?

Ni kama ugonjwa fulani hivi wa KUSINZIA na KUTOKUELEWA CHA KUFANYA kama yale MAKUKU YENYE MDONDO.

Nina wasiwasi sana na yale MACHANJO YA KORONA, Watu wote wamekuwa mazombi hawawezi kuchukua hatua katika jambo lolote.
Sio chanjo ya korona maana imekuja juzi tu na si wote tulichanja.
 
Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae.

I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini itisheni maandamano, watu tuko tayari kukinukisha. I say enough is enough, do not wait any longer.

Aidha, nikirejea andiko la Mwandishi wa habari mwandamizi Ansbert Ngurumo ametukemea vikali wafuasi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akitutaja kuwa tunakwepa uwajibikaji kwa madai kwamba “kama Lissu asingekuwa rumande, nchi ingekuwa imewaka” kutokana na msimamo wa chama wa No Reforms, No Election.

Kupitia andiko alilolichapisha Agosti 25, 2025, Ngurumo ameeleza kuwa kauli hiyo ni kisingizio cha kushindwa kuchukua hatua za kishujaa za kisiasa.

“Kisiasa, Lissu kuwa ndani ndiyo sababu halisi ya Watanzania kukiwasha, CHADEMA kufungiwa ndiyo sababu halisi ya watu kuamka na kukiwasha. Serikali imewapa sababu ya kukinukisha, Hivi wafuasi wa Lissu na Watanzania wanasubiri Lissu arudi uraiani ndipo wakinukishe? Are we serious?”, ameandika Ngurumo.

Ngurumo ameongeza kuwa hata kukamatwa kwa Lissu mbele ya wafuasi 2,000 ni ishara kwamba umma haukuwa tayari kulinda kile wanachokiamini.

“Lissu si mchawi. Hana maajabu yoyote atakayofanya bila nguvu ya umma. Hata kukamatwa kwake mbele ya wafuasi wapatao 2000 hivi, ni kudhalilisha umma uliokusanyika kumsikiliza na kumshangilia. Alitarajia nguvu ya umma izuie kukamatwa kwake; Ikamtelekeza. Alitarajia nguvu ya umma ikiwashe, ikinukishe aondolewe gerezani, lakini nguvu ya umma imebaki kusikika vijiweni na mitandaoni tu”, amesema.

Ameeleza kuwa kukamatwa kwa Lissu kulipaswa kuwa kichocheo cha harakati za kuzuia uchaguzi, lakini Watanzania wanabaki wakiombea na kuchangia harakati badala ya kusimama kidete.

“Watanzania ni watu wa ibada na michango, wanamwombea, wataombea taifa, watachangia harakati; siasa za mikikimikiki si zao. Vinginevyo, kwa serikali kumkamata Lissu, ilikuwa imewatengenezea fursa ya kufanya kile anachotamani- kukinukisha na kuzuia uchaguzi. Ajabu, siku tatu zijazo, kampeni zinazinduliwa! Sasa tuulizane. Kama Lissu amekamatwa, wafuasi wapo mitandaoni wana-twiti, wanasubiri nani akamatwe ndipo wakiwashe na kukinukisha? Tujitafakari upya”, ameeleza Ngurumo.
Mti ushaoza unakaribia kuanguka wenyewe hakuna sababu ya kuusukuma
 
Yeye mbona alikimbia?. Halafu siku Lissu anakamatwa mbona watu wengi walimlinda ila polisi wakaeazidi nguvu wakaanza kupiga mabomu na risasi za hewani kwenye kiwanja Cha Mkutano mbaba bay.
 
Yuko sahihi kabisa. Tatizo watanganyika wanatabia zifuatazo;
1. Wabinafsi na wanafiki kupindukia
2. Wajinga kupindukia
3. Umaskini wa kifikra (ufinyu wa fikra) kupindukia
4. Ni wapumbavu kupindukia.

Watawala wanajua yote haya. Ndiyo maana walifanya testing zote wakafaulu na wakijiridhisha kuwa hakuna cha nguvu ya umma. Sasa mitanzania imejazwa uoga wa kupindukia. Ndiyo maana unawaona akina Muliro na Wambura vitishi ni kila siku. Mtawafanya nini nyie watanganyika mazwazwa??

Kwetu kenya watawala hawadhubutu kufanya ujinga huu. Tunapowaambia watanzania ni wajinga mnaona tunawatukana na kusema eti wakenya tunajidai. Tunajidai nini wakati tunawapa facts. Sisi wakenya tumesoma na tumeelimika siyo nyie makondoo. Umkamate Raila umuweke kwa ndani kwa kesi ya uongo, hatukubali raia wa Kenya.

Kakikundi kadogo tu kana wa-control millions of citizens na mnaibiwa mali zenu. Kaeni hivo na ujinga wenu. Njooni mtukodi sisi wakenya tuwafanyie kazi tunayoijua na kuwapa dawa ya watawala.
 
Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae.

I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini itisheni maandamano, watu tuko tayari kukinukisha. I say enough is enough, do not wait any longer.

Aidha, nikirejea andiko la Mwandishi wa habari mwandamizi Ansbert Ngurumo ametukemea vikali wafuasi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akitutaja kuwa tunakwepa uwajibikaji kwa madai kwamba “kama Lissu asingekuwa rumande, nchi ingekuwa imewaka” kutokana na msimamo wa chama wa No Reforms, No Election.

Kupitia andiko alilolichapisha Agosti 25, 2025, Ngurumo ameeleza kuwa kauli hiyo ni kisingizio cha kushindwa kuchukua hatua za kishujaa za kisiasa.

“Kisiasa, Lissu kuwa ndani ndiyo sababu halisi ya Watanzania kukiwasha, CHADEMA kufungiwa ndiyo sababu halisi ya watu kuamka na kukiwasha. Serikali imewapa sababu ya kukinukisha, Hivi wafuasi wa Lissu na Watanzania wanasubiri Lissu arudi uraiani ndipo wakinukishe? Are we serious?”, ameandika Ngurumo.

Ngurumo ameongeza kuwa hata kukamatwa kwa Lissu mbele ya wafuasi 2,000 ni ishara kwamba umma haukuwa tayari kulinda kile wanachokiamini.

“Lissu si mchawi. Hana maajabu yoyote atakayofanya bila nguvu ya umma. Hata kukamatwa kwake mbele ya wafuasi wapatao 2000 hivi, ni kudhalilisha umma uliokusanyika kumsikiliza na kumshangilia. Alitarajia nguvu ya umma izuie kukamatwa kwake; Ikamtelekeza. Alitarajia nguvu ya umma ikiwashe, ikinukishe aondolewe gerezani, lakini nguvu ya umma imebaki kusikika vijiweni na mitandaoni tu”, amesema.

Ameeleza kuwa kukamatwa kwa Lissu kulipaswa kuwa kichocheo cha harakati za kuzuia uchaguzi, lakini Watanzania wanabaki wakiombea na kuchangia harakati badala ya kusimama kidete.

“Watanzania ni watu wa ibada na michango, wanamwombea, wataombea taifa, watachangia harakati; siasa za mikikimikiki si zao. Vinginevyo, kwa serikali kumkamata Lissu, ilikuwa imewatengenezea fursa ya kufanya kile anachotamani- kukinukisha na kuzuia uchaguzi. Ajabu, siku tatu zijazo, kampeni zinazinduliwa! Sasa tuulizane. Kama Lissu amekamatwa, wafuasi wapo mitandaoni wana-twiti, wanasubiri nani akamatwe ndipo wakiwashe na kukinukisha? Tujitafakari upya”, ameeleza Ngurumo.
Utanuka wewe
 
Kwa jinsi wafuasi wa Chadema walivyo waoga kama nyumbu kila mtu ataficha pua yake uvunguni, tena ukiwaambia kesho ndo maandamano ndo hata kazini hawaendi utakuta njia nyeupe wanajaza tu comments mitandaoni siku hiyo huku wanaandika hatuogopi kifo
 
Back
Top Bottom