Ansbert Ngurumo: Ni wakati wa Chadema kukinukisha Sasa? Tujitafakari upya

Shauri zenu wenzenu wa msumbiji walishapitia maisha ya vita Wenyewe kwa wenyewe miaka 1977-1992 kati ya Renamo na Frelimo juzi juzi kwenye maandamano wakati wa uchaguzi wapinzani wameandamana weee hakuna walichopata watu wameuwawa wengine vilema lkn viongozi wao wako poa na ninaamini msumbiji hiyo mbinu wameichukua hukuhuku sasa kijana jichanganye atakaepata polisi wa siku hizi wanapiga 😀😀😀😀
 
Kinachonifurahisha siku hizi kwa Ansebert Ngurumo ni kuona ukweli akiwa amechelewa ingawa hajachelewa.
 
Twende taratibu mkuu. Mambo si lazima yaende kizamani au unavyopanga wewe au huyo Ngurumo yaende.

Acha mimba iive, unaiharakishia nini?

Hapo jirani kaskazini yetu, si unasikia kila kukicha damu inatiririka mitaani; pamoja na hizo 'cosmetic changes' zilizogharimu damu yote hiyo nafuu yao ipo wapi hasa!

Ndiyo, ni wakati mzuri wa "kukinukisha"; lakini huwezi kunukisha tu bila kutumia akili.
Kama ni kukinukisha, subiri wakati mwafaka. Panga mikakati inayoeleweka na wakati maalum wa kukinukisha.
Bado kuna muda mzuri sana wa kufanya hivyo wakati bunduki za akina Jumanne Mulilo zikiwa hazitoshi, au hata kuwageukia wao wanaozitumia dhidi ya waTanzania. Wakati huo unakuja; achana na papara na mihemko ambayo wanaipenda sana hawa madhalimu.

Sasa hivi unawaona wana kiburi kwa kujuwa bunduki za waTanzania bado wanazimiliki kwa sehemu kubwa. Wakijuwa kuwa bunduki hizo hizo mitutu itageuzwa kuwaelekea wao utaona kiburi chao kitakavyo yeyuka.

Acha papara. Kaa chini tumia akili kuwasaidia waTanzania kuondokana na zimwi hili linaloiandama nchi yetu.

Acha kuhimiza waTanzania kwenda kuangukia mitutu ya mashetani hawa; badala yake tumia akili yako kutafuta njia ya kuwafanya mashetani hawa na wao wajue kwamba wanayo damu inayoweza kumwagwa wakati wowote.
 
Tena jaribuni muone,PUMBAVU nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…