Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

nimekupata lakini tumjuavyo mhariri ngurumo sidhani kama anaweza kufanya kosa pengine kunakaukweli wacha tuone
Issue sio Ngurumo kufanya kosa, bali ni Ngurumo kulishwa matango pori na kuingia mazima!.

Zitakuja taarifa humu Musiba bado yuko Dodoma, na picha za Makonda jana kwenye misa ya Ujumaa Kuu.

P
 
Issue sio Ngurumo kufanya kosa, bali ni Ngurumo kulishwa matango pori na kuingia mazima!.

Zitakuja taarifa humu Musiba bado yuko Dodoma, na picha za Makonda jana kwenye misa ya Ujumaa Kuu.

P
Kama unazo hizo picha tuwekee mwanakwetu!!

Pasco nakubaliana na wewe kuwa katika kufanya watu waonekane waongo inawezekana kabisa kulishwa Matango Pori na "Reliable Sources" zako ambazo kiuhalisia ni watu wa kitengo!!
 
Musiba anatoa maneno ya kichochezi mbele ya camera na anarudi kwake salama kabisa. Mambosasa yupo Dar au keshahama?
 
Swali dogo lililoko nje ya mada. Inakuwaje Makonda aliye tayari kufanya kila liwezekanalo na hata lisilowezekana kwa ajili ya CCM ni shabiki wa Simba? Nilidhani Yanga ndiyo official team ya CCM? Au na lenyewe ni changa la macho?
 
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja ngoja tusubiri kwa kuwa hakuna llinaloweza likafanyika chini ya jua likashindwa kujulikana.
 
Mhariri hewa katika utunzi wa riwaya ya kufikirika. Hovyo kabisa
 
Huyu ngurumo hajitambui, mange namba 2
 
Kumbe na ww ni mnafiki sana Paskali nilikua nakufatilia ila kumbe unajivisha ngozi ya kondoo ulisema tusimpuuze msiba ila tufuatilie anayosema kama yanaukweli mbona ww umempuuza Ngurumo bila kufatilia kama anayosema yanaukweli?
 
Hahaha mnakula matangopori mkuu

Tuna uelewa wa kutosha, tunaweza kuchuja lipi tango pori, lipi ukweli. Usitegemee tunasubiri serekali ndio ituambie ukweli.
 
Issue sio Ngurumo kufanya kosa, bali ni Ngurumo kulishwa matango pori na kuingia mazima!.

Zitakuja taarifa humu Musiba bado yuko Dodoma, na picha za Makonda jana kwenye misa ya Ujumaa Kuu.

P
sidhani kama mtu kama ngurumo anaweza fanya hivyo atakuwa kuna kitu anajua ambacho mimi na wewe hatujui
 
Kitu kizuri ni kwamba wahusika wamesikia na wanashikana uchawi!!
 
yakiandikwa na mwanakijiji au nyani ngabu unasappoti, ya ngurumo siyo??
 
sidhani kama mtu kama ngurumo anaweza fanya hivyo atakuwa kuna kitu anajua ambacho mimi na wewe hatujui
Mkuu Mwanahabari Huru, hoja yangu sio credibility ya Ngurumo, bali informants wake ndio imemlisha matango pori kwa kumtupia fupa lenye sumu, na yeye akaingia mazima!.

p
 
HAT IF IKITHIBITIKA HUU MUDA PIA MAKONDA ALIKUWA KANISANI?
Me naomba tufatilie ni wapi jana MAKONDA ALISALI...hili tuthibutishe hiki
Unaleta habari isiyokamilika hujui Makonda alikuwa wapi? Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…