Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Jerry muro linatapa tapa si unajua lililkuwa ndani ya ile Nissan nyeupe wakati Heri Kisanduku makapero akimimina Risasi kwa Tundu Lisu, pengine anajidanganya akienda Huko watanzania watasahau unyama wake.
Leo alikaa kitiifu kweli ibadani.... Tb Joshua aliwapa wa tz wenzake wote maono na kuwaombea kasoro yeye.... Sijui alipo fikiwa mtumishi aliona giza!?
 
Ngurumo alipokuwa anaandikia Mwanahalisi, hakuna hata siku moja serikali ilituonyesha hoja mbadala wa hoja zake sanasana ikaishia kulifungia gazeti badala ya kumpeleka mwandishi mahakamani akathibitishe alichoandika. Kikubwa kilichopangwa kufanywa na wafia uongozi ni kumnyamazisha kwa nguvu badala ya sheria. Amekimbia yeye lakini waliokuwa wanampa hizo taarifa za kuziandika ambazo hamkutaka wananchi wajue bado mnao miongoni mwenu. Hivyo msishtuke kupata mambo yenu mnayopanga...kwa sasa naona atayotoa vzr bila kuyaedit maana alipokuwa nchini mkono wake ulikuwa unasita kuyamwaga yote hadharani akihofia dola.
 
Huyu nae afungue account Instagram awe pacha wake Mange, JF hatukutaki
 
Ndo maana mm nilikataa kusomea sanaa kwani ilijaa taratibu tupu kama alizo nazo Nguruma.
 
Mkuu kwa hali ilivyo sasa CCM na Serikali ina maadui wengi na wakubwa waliopo ndani ya mifumo yao kuliko walioko nje, cha kusikitisha wanapambana na maadui wa nje huko wakiwasahau waliopo ndani ambao ni wengi na wakubwa. na hao ndio watakaosababisha anguko kuu marekebisho yasipofanyika.
 
Mkuu utakachothibitisha hapo ni hayo yaliyoazimiwa kutokea na si vinginevyo. Hii ni kwa kuwa wametiwa upofu
 
Sidhani kama ni kweli wewe ni mwana habari huru, coz wewe upo nje ya nchi kama sijakosea, kikao kimefanyika kurasini. So kama hukuwepo inamaana hapo umeandika yale yanayokupendeza na ambayo unahisi unaonewa ili upate upate huruma ya watu. Na kwanini umechagua hayo tu kama kuna mengi yamejadiliwa. Yalete yote ili sisi wasomaji na wachangiaji huru tusiegemee upande wowote.
So kaka acha kupotosha watu kuwa wewe ni mwanahabari huru huku unachagua lipi la kutuhabarisha. Sidhani kama waliongelea mabaya tu. Ninaimani waliongea mengi so yalete yote. Inaonekana unataka kutengeneza chuki zaidi kwa kuchagua mabaya. Halafu acha kumshirikisha Yesu katika kupandikiza chuki. Sisi tunajua jamaa ni binadam wana mazuri na mabaya na huwezi kuwafurahisha wote.
Usilitie najisi neno mwanahabari huru.
 

Tatizo lako huelewi kitu kwa sababu wewe umejikita sana na yanayo tokea humu ndani tu, lakini media za nje huna shughuli nazo na nafikiri lugha mbili tu ambazo unazifahamu, kiingereza na kiswahili labda.

Kama umesikia kuna multlingual persons basi ningekuomba nyamaza. Kwa vile watu wa aina hiyo hawa base tu katika kiingereza na kiswahili peke yake kupata informations, bali lugha kama kifaransa, kiarabu, kispaniola na kirusi zinatumika.

Watu kama hawa huwezi ukashindana nao katika kuzifanyia kazi habari.

Endelea kucheza tu na hiyo smart phone device yako na jivunie utanzania wako. World matters waachie kweli wajuao.

Nikikuuliza kwa mfano; Gaul na Jupiter walifanya nini ulimwengu huu, sijui utanipa jibu gani na nikikuomba unielezee process ya Extrapolation of 3D Objects katika Generative Shape Design na space analysis of 3D objects utaniambia nini?

Wewe endelea tu na mapambano yako ya kudai haki za binadam kutoka serikali ya Magufuli. Tusijadiliane zaidi mambo ya democracy wewe unajua zaidi na tubaki na mawazo yako Magufuli ni dikteta, pamoja na kuwa ni maajabu leo amepokea ndege ya tatu ambayo Boss wako alidai imekamatwa Canada. Sawa mkuu?
 
Dalili ni mbaya mno kwa serikali ya sasa kwa kuamua kugombana na maaskofu.
Bila kupima uzito wala kutumia akili, angalau kidogo, Bashite amejipa majukumu ya ugomvi huo, akianza na mbinu dhaifu kabisa ya eti kuwachafua maaskofu ambao kimsingi, wana daraja la manabii.
Machi 26 mwaka huu wakati wa
kuzindua magari ya MSD Bashite aliwaambia waheshimiwa waliokuwa chumba cha kumsubiria mgeni rasmi kuwa Askofu wa Karagwe na wa Lushoto ndio vinara wa waraka wa KKKT.
Akasema ameambiwa na Askofu mwenzao ambaye aliwapiga chenga na kukataa kuhudhuria kikao cha maaskofu.
Bashite alidai Askofu huyo amemuapia kuwa waraka huo hautosomwa katika dayosisi yake. Bashite akasema atawakomesha kama alivyomkomesha Gwajima.
Akasema anao wanawake walio tayari kuitetea nchi. Aliungwa mkono na Mkuu wa "kitengo" Kanda ya DSM. Viongozi wa Wizara walikuwepo walibaki kimya.
Kesho yake Bashite alimwagiza Dr. Abbas (Msemaji wa Serikali) kutafuta gazeti la kufanya kazi hiyo. Dr. Abas alipost kwenye group fulani habari za gazeti la udaku la mwaka 2015 zinazomhusu Askofu wa Karagwe. Siku hiyo hiyo Bashite akapost sala maalum inayowalaani maaskofu. Jumatano Bashite akapost maelezo kuwa anahitaji habari za viongozi wa dini waliotelekeza watoto. Kwa kuwa ni Bashite na Dr. Abbas, hii ni vita ya serikali na maaskofu. Waraka umekolea.
 
Nina maswali machache kwako mwandishi kwanza umesema kikao cha siri, wewe ulijuaje kama kirikuwa cha siri. Au nawe ndo umeamua kutengeneza Propaganda zako utuletee hapa, sidhani kama kikao cha siri wewe unaweza kufahamu kinafanyika wapi na muda gani?
 
The man is very smart in head and very intelligent. I like him the way he speak and everything he does, he does his things systematic always. I like the way he spoke yesterday, he was not reading anywhere? That kind of leaders we want alll the time sio viongizi wa kuwachezea kama watoto. Muda wa kuchezeana ulishapitwa Hapa Kazi Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…