Ansbert Ngurumo: Spika Tulia hana tofauti na Panya Road, awajibishwe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ansbert Ngurumo amesema kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson, kuwaambia vijana wa-CCM kuunyooka na kushughulika na watu wanaomsema vibaya Rais na viongozi wa CCM, haina tofauti na Panya Road ambao pia hutishia maisha ya watu kwa matendo yao.

Amesema Rais ni muajiriwa wa kwanza wa wananchi na wana haki ya kukosoa utendaji unapokuwa tofauti. ni haki ya msingi. Kutokana na utata wa kauli hiyo ameitaka serikali imuwajibishe Tulia Ackson

msikilize anavyojaribu kuona "ukuu" wa Tulia kartika video clip hii

View attachment 2381391
Tulia hana adabu kabisa
 
Ngurumo ni kiazi mmoja vihi asiye na akili,ameolewa ulaya kelele tu

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Ansbert Ngurumo amesema kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson, kuwaambia vijana wa-CCM kuunyooka na kushughulika na watu wanaomsema vibaya Rais na viongozi wa CCM, haina tofauti na Panya Road ambao pia hutishia maisha ya watu kwa matendo yao.

Amesema Rais ni muajiriwa wa kwanza wa wananchi na wana haki ya kukosoa utendaji unapokuwa tofauti. ni haki ya msingi. Kutokana na utata wa kauli hiyo ameitaka serikali imuwajibishe Tulia Ackson

msikilize anavyojaribu kuona "ukuu" wa Tulia kartika video clip hii

View attachment 2381391
" Njia pekee ambayo wananchi wanatakiwa kuitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI". By Jeffs O'Brien
 
NCHI INA MKOSI WA VIONGOZI
 
" Njia pekee ambayo wananchi wanatakiwa kuitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI". By Jeffs O'Brien
Sure haya ya Congo, Sudan nayabariki sana. madikiteita sauti watakaypoisikia ni
 
Back
Top Bottom