uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Sio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi Kamala (ambae sio mbaya ila Kila saa ye anacheka)sidhani kama ataweza mikiki kuelekea mgogoro wa Iran Lebanon na Gaza .