Anthony Blinken:kwa Nini Democrat hawajawaza kumpa u President

Anthony Blinken:kwa Nini Democrat hawajawaza kumpa u President

Mpaka sasa kashindwa kutatua mzozo wa Gaza sana Sana kageuka msemaji wa Netanyau.
Ule mgogoro umekaa kiwaki sana ukishika huyu mwingine anarusha ngumi
Nasikia baada ya uchaguzi wa Nov wa bunge la Israel basi mgogoro utapotea automatically
 
Sio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi Kamala (ambae sio mbaya ila Kila saa ye anacheka)sidhani kama ataweza mikiki kuelekea mgogoro wa Iran Lebanon na Gaza .
Wanaangalia ushawishi,kwa hali ilivyokua Democrat waliangalia Kamala ni mwanamke,hivyo wanaweza pata uungwaji mkono kutoka baadhi ya wanawake .
Asili ya Kamala na Ujuzi wa badhi ya mambo ya kimataifa
 
Anyway ngoja tuone kama democrat watatetea kiti wakiwa na Kamala

Tambua Marekani wao macho ni kwa rais bora si uchawa wa kutetea viti:

Natamani sana na Chama fulani Afrika nacho kimpate Shujaa kama huyu Meya wa Arizona wa Chama cha Republican kumkataa Trump na kumkubali Harris

Uchawa ni huku kwa ma CCM na wale ndugu wa aina za kina Lucas Mwashambwa na kina johnthebaptist.

Kwamba hao ni kuwa wamekunywa maji ya bendera za vyama, hakuliki wala hakunyweki!

Utawaambia nini?
 
O
Wanauza siraha na kupata tenda za ulinzi na kuonesha Ile military supremacy
Mama anatuongoza vema sana namuombea mingine 5 hatutaki mingi mitano TU tuijenge nchi
Okey sasa inahusiana nini mwana mama ni mzoefu kuhusu swala kama la kuuza siraha na department za ulinzi na usalama ziko stable sana marekeni.

Hivyo sioni sababu ya mwana mama kushindwa na kumueka huyo blinken

Any way sema kama kupambana na trump nazani apo ndio hoja itaweza kuwa kama kwa clinton hivyo naona chama cha biden kikipoteza kitu
 
Kwa vile umesema wewe si mjuzi wa mambo ya ki mataifa na Diplomacy. Mpaka Sasa America hajawahi kupata Secretary of state (Waziri wa mambo ya nchi za nje) kama Marehemu Henry Kissinger, huyu mwamba alifariki 2023 akiwa na umri wa miaka 100. Mwamba huyu Waarabu na Israel wanamuita, ndiye aliyeleta amani kati ya Misri na Israel mpaka wana mabalozi kati yao. Israel iliirufishia Misri ardhi yao walioiteka 1967. Kissinger alitunukiwa nishani adhim ya Nobel Peace Prize.
 
Wanauza siraha na kupata tenda za ulinzi na kuonesha Ile military supremacy
Mama anatuongoza vema sana namuombea mingine 5 hatutaki mingi mitano TU tuijenge nchi
Mama mitano tena saafi
 
Back
Top Bottom