Sio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi Kamala (ambae sio mbaya ila Kila saa ye anacheka)sidhani kama ataweza mikiki kuelekea mgogoro wa Iran Lebanon na Gaza .
Angekuwa kuhuni asingefika hapo alipo, tofauti na sisi wenzetu wana consider vitu vingi kabla hawajakuweka hapoHuyo ni mhuni tu kama kama wale wengine.
Kumbuka, wahuni si watu wazuri!
Angekuwa kuhuni asingefika hapo alipo, tofauti na sisi wenzetu wana consider vitu vingi kabla hawajakuweka hapo
hata uwe bora vipi kuna mambo wanaangalia
Mara zote waziri wa mambo ya nje wa marekani ni brain za cia endelea kupiga siasa Tz wenzetu wapo dunia ya 100000 ndio maana unaona anapiga kazi sanaSio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi Kamala (ambae sio mbaya ila Kila saa ye anacheka)sidhani kama ataweza mikiki kuelekea mgogoro wa Iran Lebanon na Gaza .
Sijasema ajabu, but uhuni unaoungelea wewe angekuwa nao asingefika hapoNi ajabu wahuni kuukwaa uwaziri?
Waulize wapalestina watakupa mrejesho.
Ni kwanini huwa hawapewi u rais kwa sehemu kubwa hawajawahi kupewa kuongoza nchi Hawa brain wa CIA kuanzia kule kwa Powel hadi Sasa kwa BlinkenMara zote waziri wa mambo ya nje wa marekani ni brain za cia endelea kupiga siasa Tz wenzetu wapo dunia ya 100000 ndio maana unaona anapiga kazi sana
Kwani kazi kuu ya kiongozi mkuu wa marekani ni kusimamia vita ya GAZA??Sio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi Kamala (ambae sio mbaya ila Kila saa ye anacheka)sidhani kama ataweza mikiki kuelekea mgogoro wa Iran Lebanon na Gaza .
Hapana ila wengi wa wamerakanj wanaonesha Rais ajae lazima aoneshe namna atakavyo deal na mgogoro wa Iran na middle east pia namna atakavyoshusha gharama za maisha kwa namna hiyo naona blinken anafaaKwani kazi kuu ya kiongozi mkuu wa marekani ni kusimamia vita ya GAZA??
Muhuni kama wale wengine kina nani!? Na uhuni wake ni upi binafsi naona anawajibika sana kuhakikisha mgogoro wa mashariki ya kati unaisha (ceasefire)
Hapo ndio umesema kushusha gharama za maisha za wamarekani lkn kuhusu migogoro ya middle east ipo tu tangia mpaka sasa hivyo sioni kama mwana mama kamala akishindwa au akiachwa atawajibishwa na wamarekani otherwise wana interest nayo hiyo migogogoroHapana ila wengi wa wamerakanj wanaonesha Rais ajae lazima aoneshe namna atakavyo deal na mgogoro wa Iran na middle east pia namna atakavyoshusha gharama za maisha kwa namna hiyo naona blinken anafaa
Migogoro Wana interest nayo sana kwao ni uwekezaji kwenye overseas territoriesHapo ndio umesema kushusha gharama za maisha za wamarekani lkn kuhusu migogoro ya middle east ipo tu tangia mpaka sasa hivyo sioni kama mwana mama kamala akishindwa au akiachwa atawajibishwa na wamarekani otherwise wana interest nayo hiyo migogogoro
Anyway ngoja tuone kama democrat watatetea kiti wakiwa na KamalaKusema ceasefire na kutaka ceasefire ni mambo mawili tofauti.
Huyo ndugu kama kwetu ujue ni wale wasiojulikana wakipambana na kina sativa, Ben, Lijenje au Azory.
Kikwetu kwetu hai ni wahuni tu.
Unawekeza kwenye nchi yenyewe ina vita upate nini?? Human resources unatoa wapi??Migogoro Wana interest nayo sana kwao ni uwekezaji kwenye overseas territories
Mpaka sasa kashindwa kutatua mzozo wa Gaza sana Sana kageuka msemaji wa Netanyau.Sio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi Kamala (ambae sio mbaya ila Kila saa ye anacheka)sidhani kama ataweza mikiki kuelekea mgogoro wa Iran Lebanon na Gaza .
Unawekeza kwenye nchi yenyewe ina vita upate nini?? Human resources unatoa wapi si bora hata waje wawekeze huku Tz japo mama anawapenda waarabu katoa sandakalawe babdari na ngorongoroMigogoro Wana interest nayo sana kwao ni uwekezaji kwenye overseas territories
Wanauza siraha na kupata tenda za ulinzi na kuonesha Ile military supremacyUnawekeza kwenye nchi yenyewe ina vita upate nini?? Human resources unatoa wapi si bora hata waje wawekeze huku Tz japo mama anawapenda waarabu katoa sandakalawe babdari na ngorongoro