Ule mgogoro umekaa kiwaki sana ukishika huyu mwingine anarusha ngumiMpaka sasa kashindwa kutatua mzozo wa Gaza sana Sana kageuka msemaji wa Netanyau.
Wanaangalia ushawishi,kwa hali ilivyokua Democrat waliangalia Kamala ni mwanamke,hivyo wanaweza pata uungwaji mkono kutoka baadhi ya wanawake .Sio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi Kamala (ambae sio mbaya ila Kila saa ye anacheka)sidhani kama ataweza mikiki kuelekea mgogoro wa Iran Lebanon na Gaza .
Anyway ngoja tuone kama democrat watatetea kiti wakiwa na Kamala
Okey sasa inahusiana nini mwana mama ni mzoefu kuhusu swala kama la kuuza siraha na department za ulinzi na usalama ziko stable sana marekeni.Wanauza siraha na kupata tenda za ulinzi na kuonesha Ile military supremacy
Mama anatuongoza vema sana namuombea mingine 5 hatutaki mingi mitano TU tuijenge nchi
Mama mitano tena saafiWanauza siraha na kupata tenda za ulinzi na kuonesha Ile military supremacy
Mama anatuongoza vema sana namuombea mingine 5 hatutaki mingi mitano TU tuijenge nchi