Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

wapiga dili wanahela na wanakula good time kuliko lumumba yote. Wapiga dili wana akili na hela zao sasa hivi zinapiga biashara china nchi jirani. Wala kodi zenu hawazijui. Mnau uchumi kwa akili za magazeti ya mwanaspoti na watanzania.
Kamanda uko wapi ?
 
Vipi bado unaamini katika andiko lako ?
 
Anavuna alichokipanda kwa kuwadanganya watz kuwa kwenye pushup ikijaza nyomi kumbe ni nyomi hewa ya graphics kuwahadaa watz. na external election observers kuwa pushups zinakubalika kumbe was hola.
 
Anaisoma namba kama machinga wa Mwanza.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hili la Diallo liwe fundisho kwa watu wengine kwamba Mungu hataniwi hata mara moja .

Huwezi kumkiri shetani na Mungu akakuangalia tu , tumeonya mara nyingi sana humu lakini hamtaki kusikia , sasa nawatangazia kwamba WOTE WALIOSAIDIA CCM WAKAE MKAO WA KULA .
 
We that huge debt plus questionable citizenship how did u expect one to behave!

Sent from my GT-I9195I using JamiiForums mobile app
 
Unfortunately , Diallo doesn't feel that. As we chat here, Diallo is happy, relaxed and highly motivated to use his structures to support CCM come 2020.

Take it or leave it.
is he still happy boss??? and which resources will he use while in a fortnight to come he will be declared bankrupt for the 4B due???
 
mkuu uliona mbali sana..... na waisome namba tu alianza nape akaja diallo bado mwigulu na january list ikamilike wanafki wote wataumbuka tu mwisho wa siku
 
mkuu uliona mbali sana..... na waisome namba tu alianza nape akaja diallo bado mwigulu na january list ikamilike wanafki wote wataumbuka tu mwisho wa siku
Katika list yako kuna mmoja alihujumu JF wakati wa uchaguzi .
 
Katika list yako kuna mmoja alihujumu JF wakati wa uchaguzi .
Wote tunamjua na alihangaika sana kutengeneza mafuriko hewa kma kule musoma mjini aliwasomba kutoka visiwani ili waje kule mkendo kumsikiliza mgombea wao mwisho wa siku hata usafiri wa kurudi hawakuwapa!!!!!

anyway uzuri sahvi katuliaaaa kwisha habari yake hata confidence za kuongea hadharani zimeisha zaidi ni matter of tym atumbuliwe maana uwaziri wake naye ni mzigo tu!!!! kwa ufupi vilio vya watanzania vipo mikononi mwao na muda ukifika watapotea wote kwenye ramani ya siasa
 
Faida ndiyo hiyo kukomoana na dua la upinzani limempata vyema
 
Aliyeturoga watanzania ameshafariki....hivyo tusubiri huruma ya mungu

Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte
Faida? Ameliokoa taifa hili kuingia majanga ya kutawaliwa na Fisadi Lowassa. Kwani unaona kapata hasara gani wewe?

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Unfortunately , Diallo doesn't feel that. As we chat here, Diallo is happy, relaxed and highly motivated to use his structures to support CCM come 2020.

Take it or leave it.
Pelekea ma box wenzako haya Maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…