Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu upo. Youtube wanazingua aiseejamani hakuna kabisa link tukamue kwa internet?
Duuu!!Tuwekeeni live screeming
TV 1sisi wengine tunaking'amuzi cha azam sijui chanel gani tutaicheki
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Tumwombee dogo ashinde, atutangaze atuwakilishe....
Na sisi tumwombee kwa dua zetu zote...
Afrika wote ni ndugu.
Wote bado wanacheza kwa uangalifu, hakuna full commitment! Ila hali inaweza kuwa si nzuri kwa AJ kama round zitasonga sana!Nani ametisha?
Endeleaa kuangaliaa utawaona wamekaa kabisaMi naona wote wanarukaruka tu
Sky news.wamenunua matangazoMdogo wangu upo. Youtube wanazingua aisee
Inawezekana maana huyo dogo huwa havuki round ya 6Wote bado wanacheza kwa uangalifu, hakuna full commitment! Ila hali inaweza kuwa si nzuri kwa AJ kama round zitasonga sana!
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app